mazoezini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Halima

    JamiiForums Tanzania Huko mazoezini ni moto wa kuotea mbali

    Nyota wa klabu ya FC Barcelona Lamine Yamal amezidi kujiimarisha kwa kufanya mazoezi ya kufunga kwa kupiga faulo (direct free kick), Msimu huu bado hajafanikiwa kufumania nyavu kwenye mbili ambazo Barcelona wamecheza, Barcelona wamekusanya alama 6 na kufunga mabao 7 lakini Yamal bado...
  2. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Mabalaa ya Doumbia mazoezini kuna watu wataaibika kama Mhasibu na Azizi Ki

    Nasikia Doumbia kawaka huko mazoezini anatupia kama goal machine aisee. Kuna watu wataaibika, hili linaenda kuwa goat la CAF. ASANTE MO NA MAGORI KWA USAJILI USIO NA MIHEMKO.
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Real Madrid wapigana mazoezini, mmoja apelekwa hospitali

    Nyota wa Real Madrid, Fede Valverde, ameripotiwa kulazwa hospitalini baada ya kuzuka tena kwa ugomvi mkubwa kati yake na mwenzake Aurelien Tchouameni, hali iliyoanza wakati wa mazoezi ya timu siku ya Jumatano. Kwa mujibu wa taarifa hizo, wachezaji hao wawili walihusika katika mabishano makali...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kuelekea mechi dhidi ya PSG, Mo Salah na Alexander-Arnold watibuana mazoezini

    Wachezaji wawili wa Liverpool, Mohamed Salah “Mo Salah” na Trent Alexander-Arnold wameonekana wakirushiana maneno hali iliyofanya wenzao kadhaa kuingilia kati na kuwatenganisha wakati wakisogeleana wakati walipokuwa kwenye Uwanja wa Mazoezi. Tukio hilo limetokea muda mfupi kuelekea mchezo wa 16...
  5. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Straika mpya wa Al Nassr, Jhon Duran atasafiri Kilomita 500 kila siku kwenda na kurudi mazoezini, kisa sheria hizi za Saudi Arabia kumbana

    Straika mpya wa Al Nassr, Mkolombia, Jhon Duran atalazimika kusafiri Kilomita 500 kila siku kwaajili ya kwenda na kurudi katika mazoezi yaa klabu yake hiyo mpya. Duran aliyesajiliwa kutokea Aston Villa, ataishi Bahrain na mpenzi wake kutokana na sheria za Saudi Arabia kukataza kuishi kinyumba...
  6. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Jinsi Cadena anavyoua vipaji kwa Mazoezi mengi. Tusilaumu wachezaji walishachoshwa Mazoezini. Mgunda pekee ndio wa kuivusha Simba hapa

    Alitoka Azam. Azam ikiwa mbovu sana. Aliua makipa kwa mazoezi yasiyo na vipimo. Alipopewa Timu nilisema mno Kama toka aje Makipa viwango vinakufa kwa mazoezi mengi. Toka Aly Salum, Ayou na Manula ataua timu kwa staili hiyo hiyo. Tukaweka kampeni aiache timu viongozi wakamwamini...
  7. John Gregory

    JamiiForums Tanzania Pichani ; Mnyama mkali Simba sc akiwa mazoezini kumuwinda Coastal Union #TunaitakaFainali

    Kikosi cha kilabu ya mnyama mkali mwituni Paka fc, Wakiwa katika mawindo ya kumuwinda Coastal union fc katika mchezo utakaochezwa hivi karibuni. Watu hao wasiofahamika na wasiojulikana wanajihusisha na shughuli gani nchini, walionekana wakikimbia kimbia na kuruka ruka hapa na pale pasipokuwa na...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ya Makocha Nabi na Kaze 'Kutukanana' mlibisha haya Kanusheni sasa na la Aucho na Morrison kutukanana jana mazoezini

    "Wachezaji wa Yanga SC kiungo Khalid Aucho na mshambuliaji Bernard Morrison jana wakiwa mazoezini kambini kwao Avic Tawn walitukanana huku Aucho akimwambia Morrison hana akili na Morrison naye akimwambia Aucho kubwa jinga." Tembelea taarifa hii kutoka mtandao wa Sports Arena, ila ukiniuliza...
  9. BigTall

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya Wanajeshi 200 wafariki Dunia wakiwa mazoezini Sudan Kusini

    Zaidi ya Wanajeshi 200 wamefariki Dunia wakati wa mazoezi wakiwa katika kambi 18 za Sudan Kusini kabla ya kuhitimu mafunzo Makamu wa Rais wa Kwanza, Riek Machar amesema sababu kubwa ni hali hewa,magonjwa kwani hakukuwa na dawa, njaa kwani chakula kilikuwa hakipatikani, ambapo waliofariki...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tabasamu la Mbwana Samatta akiwa mazoezini KRC Genk, Agosti 17, 2022

    Mbwana Samatta akiwa katika mazoezi ya timu ya KRC Genk baada ya kurejea kwa mkopo
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo akwama kufika mazoezini Man United

    Cristiano Ronaldo ameshindwa kuripoti katika mazoezi ya kujiandaa na msimu mpya katika timu yake ya Manchester United ikitajwa kuwa ana matatizo ya kifamilia Ratiba ilimtaka Ronaldo kurejea leo Jumatatu Julai 4, 2022 kuanza mazoezi chini ya Kocha Erik ten Hag lakini haitawezekana kutokana na...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kazi imeanza: AlMasry wazimiwa taa mazoezini huko Berkane

    Malalamiko yashaanza, kumbuka mechi ya kwanza team kipenzi ya makanjanja wa Bongo iiitwayo RS Berkane ilipigwa 2-1 hadi sasa haijajulikana kama makanjanja ya Morocco yameishupalia issue hii na kusema kwamba team yao ya nyumbani inatumia Dirty tricks kwa kufanya interviews na Tv za Misri au la...
  13. Little brain

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Simba wanatetema mazoezini - Masau bwire

    Ofisa habari wa Ruvu shooting Masau bwire amesema sio kwamba yeye ni mshabiki wa simba ila mpira sio vita ndio maana linapokuja suala la kimataifa anatanguliza uzalendo kwanza. pia akatolea mfano kwamba hata wachezaji wa simba sc camera zimewahi wanasa wanatetema.
  14. U

    JamiiForums Tanzania TANZIA Latige Camara aliyekuwa mchezaji wa klabu ya Hafla FC ya nchini Ghana afariki akiwa mazoezini kutokana na uchovu

    Mchezaji wa Klabu ya Soka ya Hafla FC ya nchini Guinea Latige Camara amefariki dunia leo asubuhi baada ya kudondoka uwanjani akiwa mazoezini. Taarifa za awali kutokea nchini humo zinataja chanzo cha kifo chake kuwa ni uchovu unaotokana na jufanya mazoezi huku akiwa amefunga.
Back
Top Bottom