ezekia ngailo
Member
- Nov 1, 2015
- 40
- 21
- Thread starter
- #21
hahhahaha jana ndo walikua wanaandikisha kaya kwa kayaNilisikia wanatangaza mkutano mitaa ya ilemi hapa ngoja niibuke nipate buku teni hio
hahhahaha jana ndo walikua wanaandikisha kaya kwa kayaNilisikia wanatangaza mkutano mitaa ya ilemi hapa ngoja niibuke nipate buku teni hio
Ni pesa za halimashauri zinatolewa kwa mkopo kwa wanaccm, hii hutokea kila uchaguzi unapokaribia na utaona sabuni za miche na chumvi vikigawiwa kwa wanaccm ikiambatana na semina.Siku ya pili sasa huku mtaana kwetu naona viongozi wa mitaa na wananchi eti wanaandikishana, nilivyouliza wanasema kuna hela zinatolewa na nchi za nje so kila kaya itagawiwa hizo pesa. Mimi nimeshindwa kuelewa kweli kuna nchi inataka kugawa hela?
noma kwel kwahyo ni hela zetu wenyewe zimebadilika na kisema zimetoka njeNi pesa za halimashauri zinatolewa kwa mkopo kwa wanaccm, hii hutokea kila uchaguzi unapokaribia na utaona sabuni za miche na chumvi vikigawiwa kwa wanaccm ikiambatana na semina.