Huko kwenu yapo haya ?

Huko kwenu yapo haya ?

ezekia ngailo

Member
Joined
Nov 1, 2015
Posts
40
Reaction score
21
Siku ya pili sasa huku mtaana kwetu naona viongozi wa mitaa na wananchi eti wanaandikishana, nilivyouliza wanasema kuna hela zinatolewa na nchi za nje so kila kaya itagawiwa hizo pesa.

Mimi nimeshindwa kuelewa kweli kuna nchi inataka kugawa hela?
 
Mkuu,, sio wanataka kugawa hela,,, Kuna hela za Kaya,,, kila nyumba buku kumi ni mapato ya serikali, mi nipo mbeya nimeona Hilo swala toka juzi,,,
 
siku ya pili sasa huku mtaana kwetu naona viongozi wa mitaa na wananchi et wanaandikishana nilivyouliza wanasema kuna hela zinatolewa na nchi za nje so kila kaya itagawiwa hizo pesa mimi nimeshindwa kuelewa kwel kuna nchi inataka kugawa hela?
Haaaaaa haaaaaa. ! Mungu nifundishe kunyamaza !!
 
Mkuu,, sio wanataka kugawa hela,,, Kuna hela za Kaya,,, kila nyumba buku kumi ni mapato ya serikali, mi nipo mbeya nimeona Hilo swala toka juzi,,,
Buku kumi 🙄 Wapo serious kweli? Ni afadhali wangezitumia kutatua changamoto nyingine
 
Nahisi zile Pesa za Acacia zimetoka Mkuu Jiandae kuchagua kati Ya Toyota Noah Au Pesa taslimu.
 
Nilisikia wanatangaza mkutano mitaa ya ilemi hapa ngoja niibuke nipate buku teni hio
 
Back
Top Bottom