Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 Apr 5, 2017 #221 emmyta said: Ila anantia wasiwasi namuona ana maneno mengi huyo. Mmhhh Click to expand... Maneno mengiii kama yapi
emmyta said: Ila anantia wasiwasi namuona ana maneno mengi huyo. Mmhhh Click to expand... Maneno mengiii kama yapi
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,133 Reaction score 122,588 Apr 5, 2017 #222 Shunie said: Click to expand... Hahahaaa
Azarel JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 29,020 Reaction score 40,793 Apr 5, 2017 #223 Wanaoboost maziwa wapoo?
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 Apr 5, 2017 #224 Shunie said: hivi ana dalili za wakuja kweli Click to expand... Mi ni wa kuja ndo maana naomba msaada kabla sijatoka kijijini
Shunie said: hivi ana dalili za wakuja kweli Click to expand... Mi ni wa kuja ndo maana naomba msaada kabla sijatoka kijijini
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,133 Reaction score 122,588 Apr 5, 2017 #225 Mndali ndanyelakakomu said: Maneno mengiii kama yapi Click to expand... Hahahaa! Hujafika ila umejaa uoga wee kila kitu unata ukijue. Hebu fika kwanza kwa kuwa mwenyeji unaye yote utakutana nayo huku huku.
Mndali ndanyelakakomu said: Maneno mengiii kama yapi Click to expand... Hahahaa! Hujafika ila umejaa uoga wee kila kitu unata ukijue. Hebu fika kwanza kwa kuwa mwenyeji unaye yote utakutana nayo huku huku.
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 Apr 5, 2017 #226 Shunie said: show off zao tu tunajua Click to expand... Sawa mi nasubiri siku nikitua hauko ndo uanze kunichora na hizo show off unazo sema
Shunie said: show off zao tu tunajua Click to expand... Sawa mi nasubiri siku nikitua hauko ndo uanze kunichora na hizo show off unazo sema
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,077 Reaction score 464,004 Apr 5, 2017 #227 Mndali ndanyelakakomu said: Maneno mengiii kama yapi Click to expand... Yan unaongea sana
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,077 Reaction score 464,004 Apr 5, 2017 #228 Mndali ndanyelakakomu said: Mi ni wa kuja ndo maana naomba msaada kabla sijatoka kijijini Click to expand... hivi hujawahi kufika darisalama
Mndali ndanyelakakomu said: Mi ni wa kuja ndo maana naomba msaada kabla sijatoka kijijini Click to expand... hivi hujawahi kufika darisalama
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,077 Reaction score 464,004 Apr 5, 2017 #229 emmyta said: Hahahaa! Hujafika ila umejaa uoga wee kila kitu unata ukijue. Hebu fika kwanza kwa kuwa mwenyeji unaye yote utakutana nayo huku huku. Click to expand... hahahhaha
emmyta said: Hahahaa! Hujafika ila umejaa uoga wee kila kitu unata ukijue. Hebu fika kwanza kwa kuwa mwenyeji unaye yote utakutana nayo huku huku. Click to expand... hahahhaha
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,077 Reaction score 464,004 Apr 5, 2017 #230 Mndali ndanyelakakomu said: Sawa mi nasubiri siku nikitua hauko ndo uanze kunichora na hizo show off unazo sema Click to expand... eb fika kwanza mengine tutayaona hukuhuku
Mndali ndanyelakakomu said: Sawa mi nasubiri siku nikitua hauko ndo uanze kunichora na hizo show off unazo sema Click to expand... eb fika kwanza mengine tutayaona hukuhuku
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 Apr 5, 2017 #231 emmyta said: Hahahaa! Hujafika ila umejaa uoga wee kila kitu unata ukijue. Hebu fika kwanza kwa kuwa mwenyeji unaye yote utakutana nayo huku huku. Click to expand... Sawa ngoja niwe mpole maana naona mnaanza kuniona naleta walawala mingi
emmyta said: Hahahaa! Hujafika ila umejaa uoga wee kila kitu unata ukijue. Hebu fika kwanza kwa kuwa mwenyeji unaye yote utakutana nayo huku huku. Click to expand... Sawa ngoja niwe mpole maana naona mnaanza kuniona naleta walawala mingi
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,133 Reaction score 122,588 Apr 5, 2017 #232 Shunie said: Yan unaongea sana Click to expand... Bora ughairi tu kama ana tupesa tunamsumbua aje nacho tuliwe na wajanja.
Shunie said: Yan unaongea sana Click to expand... Bora ughairi tu kama ana tupesa tunamsumbua aje nacho tuliwe na wajanja.
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 Apr 5, 2017 #233 Shunie said: Yan unaongea sana Click to expand... Nimeahirisha kuongea maana mnaanza kuona kama nitawalipa maneno
Shunie said: Yan unaongea sana Click to expand... Nimeahirisha kuongea maana mnaanza kuona kama nitawalipa maneno
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,133 Reaction score 122,588 Apr 5, 2017 #234 Shunie said: Yan unaongea sana Click to expand... Na kimuhe muhe juu.
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 Apr 5, 2017 #235 Shunie said: hivi hujawahi kufika darisalama Click to expand... Sijawahi
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 Apr 5, 2017 #236 Shunie said: eb fika kwanza mengine tutayaona hukuhuku Click to expand... Sawa mkuu
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 51,133 Reaction score 122,588 Apr 5, 2017 #237 Mndali ndanyelakakomu said: Nimeahirisha kuongea maana mnaanza kuona kama nitawalipa maneno Click to expand... Hahahaaa! Kabisa mana ndiko unakoelekea
Mndali ndanyelakakomu said: Nimeahirisha kuongea maana mnaanza kuona kama nitawalipa maneno Click to expand... Hahahaaa! Kabisa mana ndiko unakoelekea
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,077 Reaction score 464,004 Apr 5, 2017 #238 Mndali ndanyelakakomu said: Sawa ngoja niwe mpole maana naona mnaanza kuniona naleta walawala mingi Click to expand... hahahhah halaf waongeaji wengi wapo hivyo huwa naogopa mwanaume anaeongea sana yaan kila kitu anakijua mda wote anaongea yy Mndali ndanyelakakomu said: Nimeahirisha kuongea maana mnaanza kuona kama nitawalipa maneno Click to expand...
Mndali ndanyelakakomu said: Sawa ngoja niwe mpole maana naona mnaanza kuniona naleta walawala mingi Click to expand... hahahhah halaf waongeaji wengi wapo hivyo huwa naogopa mwanaume anaeongea sana yaan kila kitu anakijua mda wote anaongea yy Mndali ndanyelakakomu said: Nimeahirisha kuongea maana mnaanza kuona kama nitawalipa maneno Click to expand...
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 Apr 5, 2017 #239 emmyta said: Bora ughairi tu kama ana tupesa tunamsumbua aje nacho tuliwe na wajanja. Click to expand... Aaaah ndo yamekuwa hayo tenaa
emmyta said: Bora ughairi tu kama ana tupesa tunamsumbua aje nacho tuliwe na wajanja. Click to expand... Aaaah ndo yamekuwa hayo tenaa
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,077 Reaction score 464,004 Apr 5, 2017 #240 emmyta said: Bora ughairi tu kama ana tupesa tunamsumbua aje nacho tuliwe na wajanja. Click to expand...
emmyta said: Bora ughairi tu kama ana tupesa tunamsumbua aje nacho tuliwe na wajanja. Click to expand...