Hiyo huku kwetu tunaita ndulaa au ndulele
Sodom Apple in English
Calotropis spp ,scientific name
Hili tunda aise Ni catalyst nzuri Sana ktk swala zima la kumlidhisha mwanamke..... Babu yangu alinifundisha hii kitu na akanionya Sana ujuzi huu nisitumie kwa mke wa mtu!!
Nikipata muda nitakuja kuelezea vzr