Jamaa alisafiri kwa wiki 2,akawasahau mbwa wake kuwaachia mpishi.aliporudi kati ya mbwa 9 ,wawili walishaliwa na wenzao na aafuataye akawa yeye MWENYE MBWA..Ni eneo maarufu kwa spicy za panya pori,mbwa na popo
hii ni story ya kweli, kwenye yahoo waliweka news kuwa mzee mmoja huko indonesia alikutwa kaliwa na mbwa wake baada ya kutoka safari. Mbwa walikuwa na njaa kali ya takribani wiki mbili.