Huko CCM kuna mambo kwa kweli

Huko CCM kuna mambo kwa kweli

Shomari

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Posts
1,112
Reaction score
242
10.jpg


wabunge wa CCM wakijadiliana.
 
Naona hawana wasiwasi, maana zipo na zitaendelea kuwepo
 
Huyu mama siku zake zinaishia ishia bora atetee viti maalumu maana tunakwenda kumtosa huko Peramiho
 
chama mwambie Ritz anitafutie jezi kama ya huyo madame hapo juu.
 
Last edited by a moderator:
chama mwambie Ritz anitafutie jezi kama ya huyo madame hapo juu.
Mamndenyi
Usiwe na wasiwasi wewe ni PM gharama tu fundi utamtafuta mwenye; huku hatuvai khaki kama mgambo city mwanamke kupendeza! Tangu khaki ikampendeza mtu zaidi ya kunukishana vikwapa; mambo ndiyo hayo shurti upendeze kwa nafasi yako.
cc Ritz
 
Last edited by a moderator:
Nchi haiendi imekwama kwa sababu wabunge wa CCCM ambao ni wengi wakiwa bungeni wanachojua ni mikasi, mitungi na ushabiki wa kipumbavu
 
mkuu pesa yote hiyo mnaitoa wapi? niletee XXL

Kamanda tunafanya kazi halali; maisha ni kujishughulisha wewe kama huna shughuli sema usaidiwe mapori yapo mengi kilimo kinalipa! tukutumie kwa njia ipi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom