Hujuma Z'bar: Mchezo mchafu kuvuruga uchaguzi hadharani. Baadhi ya vyama vyahusishwa kuhonga fedha

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
12509015_1025265234204601_3715277063718157967_n.jpg
 
UHURU ni gazeti lenu linaandika porojo zenu. UKWELI ni kuwa CCM mumeshindwa uchaguzi na hadi sasa hamna hata mtu mmoja aliyejitokeza kusema uchaguzi ulikuwa na matatizo isipokuwa Kada Jecxha ambae ni kibaraka wenu. Mulipoona mumeshindwa, munalazimisha lakini munasahau kuwa munapokwenda kinyuma na katiba ya NCHI NA SHERIA mbeleni litawageuka.
 
Huyo chotara Mohamed Aboud anajua demokrasia? Aliwahi hata siku moja kujipatia wadhifa wa kuchaguliwa na wananchi? Yeye anajifanya mpana kumbe ni wadhifa wa kupewa tu. Khaaa!!!
 
Maalim Seif ni mabaki ya Sultan.kupewa nchi ni kunajisi Mapunduzi Matukufu ya 1964
 
Maalim Seif ni mabaki ya Sultan.kupewa nchi ni kunajisi Mapunduzi Matukufu ya 1964
Wewe ndio Unafanya waafrika tudhaulike kwa mawazo yako ya kale kama haya, mawazo mgando kana kwamba dunia imesimama. Mawazo yako yana tofauti gani na Yale ya interlahamwe?
 
UHURU ni gazeti lenu linaandika porojo zenu. UKWELI ni kuwa CCM mumeshindwa uchaguzi na hadi sasa hamna hata mtu mmoja aliyejitokeza kusema uchaguzi ulikuwa na matatizo isipokuwa Kada Jecxha ambae ni kibaraka wenu. Mulipoona mumeshindwa, munalazimisha lakini munasahau kuwa munapokwenda kinyuma na katiba ya NCHI NA SHERIA mbeleni litawageuka.
na huyo seif alipojitangazia matokeo na kusema ameshinda hakufanya makosa? ubabe uliofanyika pemba na cuf huko kwenye ngome yao hata vyombo vya usalama visingeweza kuzuia. kama wazanzibari wamegawanyika kikabila/kimbari naturally rais atatoka kwa wengi. wachache kulazimisha ndio tutaona yale ya rwanda. uzuri serikali ya kitaifa ipo ku hakikisha wachache hawatengwi. ultimately lazima upemba na uunguja uishe ili mgawanyiko uwe wa kihoja badala ya asili ya mtu. hii italeta afya nzuri kwa siasa za zanzibar.
 
Huyo chotara Mohamed Aboud anajua demokrasia? Aliwahi hata siku moja kujipatia wadhifa wa kuchaguliwa na wananchi? Yeye anajifanya mpana kumbe ni wadhifa wa kupewa tu. Khaaa!!!
Amchague nani huyo?
 
Back
Top Bottom