Suluhisho ni dogo tu!! Ferry ya kuvuka inahitaji kubinafsisha sector hiyo !! Waje wawekezaji kadri ya kukidhi haja ya wasafiri...
yaani wasafiri 1000 kwa pantoni 5 hadi 10 zichuana hapo !! na kila idadi ikiongezeka pantoni ziongezwe !! Ndo tutaendelea, Kwani mteja (msafiri) ni mfalme, Na ni haki yake kusave time yake " time is money "
The Fixer Barasu KATIBUA The Boss
Mkuu hili wazo wakulu hawawezi kukubali labda UKAWA wakiingia magogoni.Pale kuna tiketi fake balaa!Kwa vile majitu yenyewe ya kigamboni ni mazwazwa acha waendelee kupigwa tu siku wakizama pale ndio wata pata akili ya kuandamana hadi mlangoni kwa mkulu ikizingatia pale si umbali mrefu.
Kifupi na ukweli kuwa waTanzania tumepandikizwa virusi iitwayo "hofu" !! Sasa nani wa kumvisha kimburu kengelee???
Injini Inatumika Moja,inaenda Kama Mdudu Kaa,linazunguka Kama Linaenda Kurasini Linarudi Kama Linawapeleka Zanzibar Kwa Sh,200 Linawarudisha Tena Kurasini Ndo Baadae Linaenda Kuweka Nanga Upande Upande
Mkuu kweli makubwa... kilio chetu kitaitikiwa na kupata msikilizaji ONE DAY !!Kifupi na ukweli kuwa waTanzania tumepandikizwa virusi iitwayo "hofu" !! Sasa nani wa kumvisha kimburu kengelee???
Wanaiba mafuta wanapeleka wapi?
Injini Inatumika Moja,inaenda Kama Mdudu Kaa,linazunguka Kama Linaenda Kurasini Linarudi Kama Linawapeleka Zanzibar Kwa Sh,200 Linawarudisha Tena Kurasini Ndo Baadae Linaenda Kuweka Nanga Upande Upande
Hivi usalama mle upoje? life jacket na maboya yanakidhi idadi?
Samahani! ule mpango wa daraja umeishia wapi?
yaani ni zaidi ya dk 50 mzunguko mmoja kutoka kigamboni kuja magogoni na kurudiHata mimi sijaelewa?
Wadau,
Ipo haja ya Mamlaka husika kuingilia kati swala la kivuko hapa kigamboni, Round trip la hili pantoni kubwa siku hizi dakika 50 badala ya dakika 25.
Pantoni linatembea na injini 2 badala ya 4. Mafuta yanauzwa tu juu kwa juu, Mkuu Mwakyembe najua unapitia hapa na kama utakuwa hujaona lakini najua Vijana wako watakuletea hizi taarifa.
Wizi wa mafuta kwenye hizi pantoni zimezidi
Hivi usalama mle upoje? life jacket na maboya yanakidhi idadi?
Samahani! ule mpango wa daraja umeishia wapi?
Siku hizi Pantoon ni tatizo na waandishi wa habari wakienda pale wanakamatwa na kutiwa ndani, mfano siku ya mwaka mpya, mwandishi aliwekwa chini ulinzi alipotaka kujuwa kwa nini kuna foleni kubwa na hakuna jitihada za kupunguza foleni, na wanajuwa kuwa ni cku ya mwaka mpya.
hapo umenigusa mkuu, mfano kipindi navuka kuja mjini majira ya saa nne asubuh leo nilimsikia yule dada wa matangazo anatangaza kama kuna mtu amesahau begi lake alifuate atalikuta ! Nikajiuliza sana kiusalama inakuwaje hapo? Kama mtu kaweka bomu si atakuwa amefanikiwa? Kiusalama pale ni sifuri, nenda kakae karibu na kituo kidogo cha polisi ni aibu sana jinsi wanavyokula rushwa, na wamekuwa madalali kwa matajiri wasiotaka kukaa foleni kwa kwapitisha baada ya kupewa rushwa,hivi usalama mle upoje? Life jacket na maboya yanakidhi idadi?
Samahani! Ule mpango wa daraja umeishia wapi?