Wadau,
Ipo haja ya Mamlaka husika kuingilia kati swala la kivuko hapa kigamboni, Round trip la hili pantoni kubwa siku hizi dakika 50 badala ya dakika 25.
Pantoni linatembea na injini 2 badala ya 4. Mafuta yanauzwa tu juu kwa juu, Mkuu Mwakyembe najua unapitia hapa na kama utakuwa hujaona lakini najua Vijana wako watakuletea hizi taarifa.
Wizi wa mafuta kwenye hizi pantoni zimezidi
Sidhani kama hili ni swali. Lakini sawaa ngoja nijaribu kukupatia jibu wanakwenda kuuza mtaani kwa watumiaji wengine
dakika 50???
Hata mimi sijaelewa?
Injini Inatumika Moja,inaenda Kama Mdudu Kaa,linazunguka Kama Linaenda Kurasini Linarudi Kama Linawapeleka Zanzibar Kwa Sh,200 Linawarudisha Tena Kurasini Ndo Baadae Linaenda Kuweka Nanga Upande Upande