Hujuma na utapeli unafanywa na mtu anajiita mwenezi kwa kudanganya namba ya mhe vincent nyerere

otorokoko

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
2,437
0
Katika mada mbalimbali zilizokuwa zinahusu maendeleo ya jimbo la musoma mjini baadhi ya watu walihitaji kupata mawasiliano ya mhe vincent nyerere,lakini cha kushangaza na kusikitisha ametokea mtu asiyejulikana anaitwa mwenezi amekua akitoa namba ya simu ya uongo ambayo ni 0766183320 akiwarubuni na kuwatapeli watu akidai yeye ndiye vincent nyerere,kuweni makini na namba hii ya uongo.
 
Manyerere Jackton

Verified Member
Dec 11, 2012
2,420
2,000
Katika mada mbalimbali zilizokuwa zinahusu maendeleo ya jimbo la musoma mjini baadhi ya watu walihitaji kupata mawasiliano ya mhe vincent nyerere,lakini cha kushangaza na kusikitisha ametokea mtu asiyejulikana anaitwa mwenezi amekua akitoa namba ya simu ya uongo ambayo ni 0766183320 akiwarubuni na kuwatapeli watu akidai yeye ndiye vincent nyerere,kuweni makini na namba hii ya uongo.
TCRA wako bize na mwaka mpya!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom