Pole ssana mkuu, kwa kifupi Dr. Slaa kajiibu maswali kwa ufasaha mkubwa sana,
Huwezi amini ndugu yangu kuwa hata mimi nilikuwa sijaelewa mambo kibao na sasa nimeshamwelewa sana .
Kwa kifupi kwa yule asiyetaka maendeleo ndo hatampigia na pia mafisadi lakini kwa kila mwenye nia njema na Tanzania atampigia Dr. SLAA
katoa uufafanuzi mzuri sana kwa masuala yote ya msingi, NaMPA PIG UP SANA!!!
Nadhani ni wajibu wetu sote kuwaelimisha wote wanaofikiria kuwa wakipigia chadema amani itatoweka kuwa CCm ndo watakaopoteza amani kwa kutumia majeshi na mgambo wao,
Kuwa hata kama watapigia chadema eti ccm itashinda tu, kumbe kura moja moja ndo inatimiza milion 19.
Jamani watu hawa ni wengi sana maana mimi binafsi nimekutana na watu kibao nimeshawashawishi na wanaelewa taratibu. otherwise kuna kura nyingi za docta zitapotea kwa woga wa watu wachache.
so wanaopenda mabadiliko haya, basi elimisheni mtu mmoja mmoja wapigie mabadiliko