Hujuma kwa CHADEMA...KILA SEHUMU

IsangulaKG

JF-Expert Member
Oct 14, 2010
706
385
Kwanza nipeni pole sikuweza kuangalia Dr.Slaa akijibu maswali live muda mfupi uliopita.Kwa kuwa nipo kikazi huku na sina Tv nikajisogeza baa kutazama kipindi..kilipoanza tu baada ya kama dk 5 mwenye baa kazima tv ati inampigia kelele..7o selfish..nikahamia baa nyingine mara umeme si ukakatika mji mzima ati bada ya kipindi umeme ukarudi...tutafika kweli..
 
Mkuu CHADEMA haihujuki ...!!

NONDO zilizowekwa huku utakutana nazo ...ukirejea!!

Rais inabidi ajibu kweli kama yeye ni fisadi au si fisadi...? Kagoda... Meremeta, Kwanini Awapigie debe wote walio mahakamani?
 
Pole ssana mkuu, kwa kifupi Dr. Slaa kajiibu maswali kwa ufasaha mkubwa sana,
Huwezi amini ndugu yangu kuwa hata mimi nilikuwa sijaelewa mambo kibao na sasa nimeshamwelewa sana .

Kwa kifupi kwa yule asiyetaka maendeleo ndo hatampigia na pia mafisadi lakini kwa kila mwenye nia njema na Tanzania atampigia Dr. SLAA
katoa uufafanuzi mzuri sana kwa masuala yote ya msingi, NaMPA PIG UP SANA!!!
Nadhani ni wajibu wetu sote kuwaelimisha wote wanaofikiria kuwa wakipigia chadema amani itatoweka kuwa CCm ndo watakaopoteza amani kwa kutumia majeshi na mgambo wao,

Kuwa hata kama watapigia chadema eti ccm itashinda tu, kumbe kura moja moja ndo inatimiza milion 19.

Jamani watu hawa ni wengi sana maana mimi binafsi nimekutana na watu kibao nimeshawashawishi na wanaelewa taratibu. otherwise kuna kura nyingi za docta zitapotea kwa woga wa watu wachache.

so wanaopenda mabadiliko haya, basi elimisheni mtu mmoja mmoja wapigie mabadiliko
 
Sema huko mji gani usituletee propaganda hapa.... Ole wako utaje mkoa ambao niko na kuna umeme full time,lazima ni kuchongee ulambe ban
 
Mkuu CHADEMA haihujuki ...!!

NONDO zilizowekwa huku utakutana nazo ...ukirejea!!

Rais inabidi ajibu kweli kama yeye ni fisadi au si fisadi...? Kagoda... Meremeta, Kwanini Awapigie debe wote walio mahakamani?

Mkuu kwa kweli mda wa docta umekuwa kidogo sana ukitegemea alikuwa na mambo mengi sana

Nadhani kuwa Dr. anahitaji tena mda mwingine redioni, au katika tv kueleza mambo haya tena, maana wenzao ccm wanatumia sasa tv na maredio kibao kujisafisha na kujipamba huku wakijaribu kuwatisha watu kwa hoja za amani, na maedeleo yya kawaida ya kila siku ambayo kila aliye madarakani lazima afanye.
Kwa kifupi wanawapotosha hawa wapiga kura wasio na uelewa mkubwa wa kupambanua mambo.

Dr. Jamani naye apate kuuonesha hata moja ya mikutano yake aliyofanya vizuri katika tv.
 
Mtu akikuambia kwamba jeikei atashinda. mwambie UKIMNYIMA KURA YAKO HAPATI HUO USHINDI,
that is the way ya kumjenga mpiga kura kisaikolojia kwamba kura yake ndiyo CHANGE.

nimeshawahubiria watu wengi sana na kila mmoja amekiri kwamba bila kura yake jeikei hashindi.
KURA kwa SLAA
 
Kwanza nipeni pole sikuweza kuangalia Dr.Slaa akijibu maswali live muda mfupi uliopita.Kwa kuwa nipo kikazi huku na sina Tv nikajisogeza baa kutazama kipindi..kilipoanza tu baada ya kama dk 5 mwenye baa kazima tv ati inampigia kelele..7o selfish..nikahamia baa nyingine mara umeme si ukakatika mji mzima ati bada ya kipindi umeme ukarudi...tutafika kweli..
Mkuu pole sana.
hapa nilipo kulikuwa na power cut ya kila baada ya muda mchache. nikaamua kuingia jf na kufuatilia mjadala.

DR ameipasua sisiemu katikati. sijui MARMO atasema nini kesho maana hawa ccm wanajibu hoja za kampeni za wapinzani kupitia jukwaa la serikali.
Waache tunawasubiri kona (31 october) kwa kabari nzito
 
Sema huko mji gani usituletee propaganda hapa.... Ole wako utaje mkoa ambao niko na kuna umeme full time,lazima ni kuchongee ulambe ban
Pole sana kwa kuudhika kwa mdahalo wa leo.
subiri mdahalo live kwenye sanduku la kura.
maumivu yatakuwa big time this year
 
Kwanza nipeni pole sikuweza kuangalia Dr.Slaa akijibu maswali live muda mfupi uliopita.Kwa kuwa nipo kikazi huku na sina Tv nikajisogeza baa kutazama kipindi..kilipoanza tu baada ya kama dk 5 mwenye baa kazima tv ati inampigia kelele..7o selfish..nikahamia baa nyingine mara umeme si ukakatika mji mzima ati bada ya kipindi umeme ukarudi...tutafika kweli..

Pole sana wameingia kiwewe hawa. Tanesco bila hata aibu inakubali kutumika katika kuwanyima haki Watanzania ya kuchagua kiongozi aliye bora. Hawana namna ila kuanza kufunga virago vyao.
 
Pole sana huyo mwenye baa labda ni kada wa sisiem. Lakini kilichoongelewa utakipata tu.
 
Shinyanga was the one affected by this issues but "even a fools know you can't reach a star,that doesn't stop a wiseman from trying"
CHADEMA IS OUR RELIANCE
 
kwanza nipeni pole sikuweza kuangalia dr.slaa akijibu maswali live muda mfupi uliopita.kwa kuwa nipo kikazi huku na sina tv nikajisogeza baa kutazama kipindi..kilipoanza tu baada ya kama dk 5 mwenye baa kazima tv ati inampigia kelele..7o selfish..nikahamia baa nyingine mara umeme si ukakatika mji mzima ati bada ya kipindi umeme ukarudi...tutafika kweli..

sasa unataka wananchi wampende kiunafiki hata kama hawamtaki slaa!!!!!!
 
Back
Top Bottom