Hujuma Dhidi ya Mwanza, Arusha, Mbeya Kwenye Website ya Taifa

kama ni kweli (vinginevyo atokee mtu wa serikari hata kwa ID yake binafsi) aeleze nini kinaendelea.
Mbali na hapo inaonyesha kuwa watu wamefikia uwezo wao wa kufikiri pamoja na kukabiliana na challenges!
 
hii ni aibu kweli kweli maana Serikali ya CCM inawapa watu umaarufu pasipo sabau
 
Sorry! The domain is currently not available.


If you are the Administrator of this website, Please contact the billing section (+255 658 680751).

Apology for any inconvinience.
 
Hata mishe mishe za kusheherekea uhuru feki wa Tanzania huku Arachuga Hakuna!
 
kila sehemu tabu tu-hakuna tunapoweza hata kwenye kuweka details zetu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom