Chondechonde viongozi CWT-Bariadi mmediliki kuhujumu fedha za mfuko wa maafa bila hata aibu. Mfuko huu ulianzishwa maalumu kwa lengo la kuwasaidia walimu pindi wanapopatwa na maafa kama vile kufiwa,rufaa,matibabu na majanga mengine kama kuvamiwa na majambazi
Ni takriban miaka 10 sasa toka uanzishwe. Hujuma imeanza kujitokeza toka alipoamishwa muasisi wa mfuko huo katibu Ponsian waliofuata wamefanya ni mradi wao hakuna mwl hata mmoja anapata huduma ni miaka mitatu sasa makato yanaendelea lkn huduma hakuna
Wamekuwa wakitoa visingizio bya uongo kuwa tatizo ni mkurugenzi hatoi hundi. Kama ndivyo kwa nn msiwaite wajumbe wafanye maamuzi ya hatma ya mfuko huo uliojaa wizi na ujanjajanja wa kitapeli.Wito WALIMU BRD CHONDE CHONDE TUFANYE MAAMUZI JUU YA WIZI HUU TUNAOFANYIWA NA VIONGOZI HAWA WAKISHIRIKIANA NA CWT uchaguzi unakuja tuckubali kuwarudisha madarakan hawa viongozi wanaojali maslahi yao tu.