tuna kumis,tunajua unaumwa.
tumejua umuhimu kwetu na tuna omba kukusaidia matibabu.
nipo tiyari kukuchangia kwenda india kwa matibabu.
nielekeze wapi nitume mchango.
na a hidi kuchangia sh 10,000.
huu si utani ni wakati wa kuelewa umuhimu wa jf.
unapata habari na vitu vingi bila kulipia.
long live jf