Hujisaidii mpaka ulipe

Ushahidi.

Jamaa kalipia Kodi, na Stakabadhi anayo
 
Mh risiti chooni?Hapo lazima wateja watakua wengi
 
Halafu huwa nasikia wanalipisha kwa kilo, mzigo kwa kilo ni tsh 100 bwana huyu inaonekana kalipia 300 hivo kaacha mzigo wa kilo tatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…