Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,091
- 8,243
Yah.Hutanunua wala kuuza...........Taratibu maandiko ya kitabu kitakatifu yanatimia.
Tumrudie Mungu.
Bwashee Sinopharm bado zipo za kutosha, Moderna zipo njiani zinakuja, Upatikanaji wa chanjo siyo tatizo! Nenda kachanjeKwani wameleta chanjo za kuwachanja taifa zima?!!
Kachanje, acha kuamini ujingaVipi watoa huduma huko maofisini ambao hawajachanjwa? beberu anawashurutisha mlete namba ya mpinga kristo ili mamlaka ya ibilisi ianze rasmi, siyo?
Sisi wengine kila kitu tunafanya online bwashee!Bwashee Sinopharm bado zipo za kutosha, Moderna zipo njiani zinakuja, Upatikanaji wa chanjo siyo tatizo! Nenda kachanje
hakika yanatimia tukiyaona kwa macho yetu mawili..lkn bdo wapo ambao wala hawashtuki, ni muda wa kutubu dhambi zetu na kumrudis Mungu...rapture is arround the corner!!Taratibu maandiko ya kitabu kitakatifu yanatimia.
Tumrudie Mungu.
Ili UFO watakaposhuka wakute mnazo signal tayari, waweze kuwatumia kama mazombi kufanya maasi kipindi cha dhiki kuu na muwe mnaonekana kwenye mitambo yao, mambo ni hadharaniiiiii....Mtachanja tu, mtake msitake
Haha, kuna mambo physical appearance haiepukiki, Ukiumwa utatibiwa online?Sisi wengine kila kitu tunafanya online bwashee!
Acha kuamini ushirikina ChiefIli UFO watakaposhuka wakute mnazo signal tayari, waweze kuwatumia kama mazombi kufanya maasi kipindi cha dhiki kuu na muwe mnaonekana kwenye mitambo yao, mambo ni hadharaniiiiii....
Ndio bwashee!Haha, kuna mambo physical appearance haiepukiki, Ukiumwa utatibiwa online?
Je wamebainisha ni huduma zipi?Watu watalazimika kuonesha cheti kuwa wamechanjwa chanjo ya Covid 19 ili kuweza kupata huduma kwenye Ofisi za Serikali na wale ambao hawajachanjwa hawatopewa huduma.
Mbona kila kitu kipo peupe.....tatizo lenu waabudu shetani mnajiona nyinyi ndo wenye siri za mambo yote ya dunia. Kwa taarifa yako hakuna jambo litakalofanyika duniani bila Mungu kuwapa taarifa wateule wake, kaeni mkijua hilo.....Acha kuamini ushirikina Chief
Dunia uwanja wa fujo!Yah.Hutanunua wala kuuza...........
"Rapture" ilianza kusubiriwa na akina Paul 50 AD, hadi leo hii 2021 AD bado mnasubiri hiyo kitu?hakika yanatimia tukiyaona kwa macho yetu mawili..lkn bdo wapo ambao wala hawashtuki, ni muda wa kutubu dhambi zetu na kumrudis Mungu...rapture is arround the corner!!
Ushirikina huo, and msimsingizie "Mungu" hata kwenye ujingaMbona kila kitu kipo peupe.....tatizo lenu waabudu shetani mnajiona nyinyi ndo wenye siri za mambo yote ya dunia. Kwa taarifa yako hakuna jambo litakalofanyika duniani bila Mungu kuwapa taarifa wateule wake, kaeni mkijua hilo.....