Polee... Na mm nilikuwa n ilo tatizo ila niliagiza mtu tcu jan akaenda kufatilia ilo swala.... Alipewa fomu akanijazia baadh ya detail na jion hii tcu wamenitumia code.... Nilikuw nawaz kam nn yan bt ssiv ALHAMDULILLAH.... Fatilia tcu utapat..Nimechaguliwa chuo zaidi ya kimoja na sijatumiwa codes na TCU nimewapigia chuo wameniambia nisubiri codes za TCU naona muda unazidi kwenda naombeni ushauri nifanyaje
Asante mkuu kesho nitafuatiliaPolee... Na mm nilikuwa n ilo tatizo ila niliagiza mtu tcu jan akaenda kufatilia ilo swala.... Alipewa fomu akanijazia baadh ya detail na jion hii tcu wamenitumia code.... Nilikuw nawaz kam nn yan bt ssiv ALHAMDULILLAH.... Fatilia tcu utapat..