Naona tutageuka kama middle east kwa kuwa bombed, siku hizi wazungu wanataka wageuze maji kama mafuta na kuanza kutuuzia. makampuni makubwa kama suez na veolia yananunua maji na kuuzia watu. just imagine maji lita moja ni bei kuliko coca lita moja, huko bolivia kampuni ilinunua maji hadi ya mvua yaani watu hawakuruhusiwa kuchota maji ya mvua! sasa watakuja kuyafuata haya ya africa.