Huezi mridhisha mwanamke kamwe

Wakati mwingine siajabu wewe ndio una matatizo, ila kwa kuwa hautaki kukubali unasingizia Wanawake, wapo Wanawake waliomizwa na Wanaume wabinafsi wagonjwa wa akili pia na wapo Wanawake na Wanaume wanaopendana, kuheshimiana na kuishi kwa furaha na amani.

Punchline.
Tatua matatizo yako kwanza, kabla ya kuingia kwenye mahusiano na mwingine, ...
 
duuuh siajelewa moja kwa moja
Mbona sisi hatuna shida kabisa ni vile tu mnatuelewa vibaya.
Hayo uliyosema yatatokea endapo upo kwa mahusiano ambayo sio sahihi ila ukiwa na mtu sahihi na mkapendana kwa dhati basi kila mtu ataridhika na mtafurahia maisha
 
Unaweza kusimamia ukucha katika show na ukajikunja kama korosho na hadi jasho kibao bila kusahau six packs lakini kesho ukasartiwa kwa muuza maziwa,,

Na hapo ndo utajua kuwa hizo ulizo nazo tumboni ni six parks au ni six paka.
 
Pole sana mkuu, ndio maisha hayo
 
Unaweza kusimamia ukucha katika show na ukajikunja kama korosho na hadi jasho kibao bila kusahau six packs lakini kesho ukasartiwa kwa muuza maziwa,,

Na hapo ndo utajua kuwa hizo ulizo nazo tumboni ni six parks au ni six paka.
oya hawa hawatabiriki kama ligi ya ingilandi
 
Hivi bado kuna jinsia ya me au ke hadi karne hii wanaamini hawasalitiwi kabisa na wapenzi wao?
Mwanamke wa sasa sawa na mwanaume tu anachiti kubadili ladha.
 
Mbona sisi hatuna shida kabisa ni vile tu mnatuelewa vibaya.
Hayo uliyosema yatatokea endapo upo kwa mahusiano ambayo sio sahihi ila ukiwa na mtu sahihi na mkapendana kwa dhati basi kila mtu ataridhika na mtafurahia maisha
Labda kwene series za kikorea
 
Sasa mwanamke wako Hana shukurani.. unachukia wanawake wote na .hasira zako unaenda kufukua mitaro[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...

Huu ndo ubogus huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…