Dokta alikuwa anakwenda kuwinda hivyo akamuachia majukumu assistant wake Jason. Dokta: "Jason nakwenda kuwinda hivyo majukumu yote ni yako na angalia wagonjwa wote!" Jason: "Ndio mkuu!" Baada ya kurudi dokta akamuuliza vp mambo yalikwendaje kwa Jason.. Jason: " Nliwashughulikia wagonjwa wa3! Wa1 kichwa kilikuwa kinamuuma nikampa panadol" Dokta: "Safi sana na wapili?" Jason: "Wa2 alikuwa anaumwa na 2mbo na kama linavuruga alisema, nikampa flagyl" Dokta: "Bravo, wee safi sana na wa3 je? Jason: "Dokta nlikuwa nimekaa ghafla mwanamke akaingia na akavua nguo zote akabaki mtupu na akalala kwenye meza. Akapanua miguu na kupiga kelele nisaidie dokta kwa miaka mi5 sijamuona mwanaume! Dokta: "Mungu wangu na ukafanyaje sasa?" Jason: "Nilimuwekea dawa ya matone kwenye macho yake!"
Assistant anaenda vizuri tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]