comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,945
Kutokana na kukiukwa kwa maamuzi hususani katika haki za mtumishi, sheria za kazi na haki za binaadamu kupinda kuhusu maamuzi ya kufutwa kazi bila malipo watumishi 9932, huenda shirika la kazi duniani na shirika la haki za binaadamu na taasisi zake wakaanza kutoa makucha yao juu ya sakata hilo na kuamua vinginevyo baada ya suala hili kuchukua sura ya kimataifa hususani habari iliopo katika channel ya African News.