Tetesi: Huenda muda wowote internet ikazimwa

Wasizwa watazima internet aisee na malipo yote yatasimama kwa muda hii hasara ya kuzima internet sijui waliwahi kupiga hesabu yake au..
Wao huangalia 'faida' tu ambayo ni kuhakikisha Samia anabaki madarakani kwa gharama yoyote ikiwa ni pamoja na kuteka, kufira na kuua Watanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…