GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,694
- 109,133
Matatizo ya vijana wetu ndio ulevi wa maendeleo ya nchiMimi huko siko tafadhali.
Yaa, kwa hili tupo pamoja, shida ua viongozi wetu ni wapenda sifa, wanapenda kujionesha wanakubarika kwa hili wananchi, kumbe sivyo wao tayari kuwanunua watu na kuwapakia kwenye malori ya mchanga wakajaze mikutano, wapo tayari kununua watu washinde jf. na social media zingine ili kuwasifia tu wakati kiuwalisia hawana chochote, hawana tofauti na Baba mfuga kitambi wakati watoto wananjaa, hawana tofauti na mtu aliyevaa coat la suit ndani amevaa shati la kuchanika. Ni upumbavu, ni upumbavu kwa kuwa kununua air time kutangaza kuwa tunakwenda mbele, wakati watu wanalalamika njaa, hali ngumu ya maisha, we bado umeng'ang'ania nyimbo yako haina maana hata kidogo, na hiyo dhambi haitokuacha salama.
Usitumie njaa zao kama silaha za kuwaadhibia na kuwanunua kwa bei rahisi. Waheshimu.
Pumba.vu🙏🙏🙏🙏🙏
Mleta mada ni vizuri kuwa mkweli hakuna binadamu usiyependa kusiwa hata wewe mwenyewe mpenda sofa mtu akikwambia Uzi wako safi sana si utajisikia Raha? Huo ni unafiki kujifanya ohh fulani anapenda sifa sana wewe hupendi sifa? Kama hupendi sifa mbona mtu akikwambia wewe bwege mbona unakasirika.Kupenda sifa ni tabia ambayo binadamu tumerithi toka kwa Mungu aliyetuumba.Yeye mwenyewe Mungu ni mpenda sifa na hukaa katika sifa !!!!! Mleta mada acha unafiki na huyo mnafiki mwrnzio Raisi wa Tajikistan watu wakimsema vibaya unaona huyo Raisi atakavyofoka mnafiki mkubwa huyo Raisi.Kila binadamu hitaji lake Moja kubwa ni kusifiwa
Na hasa hasa kwa Kisiwa changu pendwa kabisa ninachoishi cha Puerto Rico Mkuu manake Rais wetu ukitaka umuweze na mambo yako yanyooke Wewe msifie tu Kinyume cha hapo utajuta Kuzaliwa Kisiwani Puerto Rico. Ndiyo maana naipenda mno nchi yenu hiyo ya Tanzania kwani Marais wake wote si Watu wa Kupenda Sifa bali ni Watu wa Kazi Kazi tupu hadi raha.
Wewe ulipotoa hii habari ulilenga kiongozi wa nchi gani mwingine anae penda kusifiwa tofauti na huyo kiongozi wa nchi hio uliotajaMkuu hiki ' Kisununu ' chako si cha nchi hii. Pole sana!