Yuko pale kwenye hotel yake-Bahari beach, si unaona ulinzi umeimarishwa?

Kwani tayari ameshaondolewa madarakani hadi kusema aliyekuwa?

atakuwa katorokea tanzania na yuko kimbiji kajipumzisha tu yuko busy na samsung galaxy 2

kimbiji ndio wapi????mi napajua LUMBIJI

KIMBIJI ni huko kigamboni kwa mbele ambako JK wanatuambia wanachimba visima vya ku supply maji jiji la dar es salaama

atakuwa katorokea tanzania na yuko kimbiji kajipumzisha tu yuko busy na samsung galaxy 2

Tehe siku za mwisho huwa mbaya sana

kwa mujibu wa mtandao wa ZEE NEWS GADAFI yupo zimbabwe kwa mugabe kama mwakumbuka wiki hii MUGABE alitishia kumtimua bzalozi wa libya nchini ZIMBABWE KWA KUPEPERUSHA BENDERA YA WAASI, akisme kuwa yuko pale kuiwakilisha serikali ya GADAFI na sii ya waasi. kwa ufupi gadafi katulia kwa MUGADE ana kinga zote kuwa pale.