Huduma za Visual Effects kwa watengeneza filamu na wasanii

Mtu Poa 2013

Senior Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
117
Reaction score
85
Habari zenu wana JF, watengeneza filamu na wasanii wote mlioko humu jamvini. Mimi nina kampuni yangu ambayo inajishughulisha na graphic designing na visual effects. Kwanza kabisa kwa wale ambao hawafahamu ni nini visual effects, ni kwamba visual effects ama kwa kifupi VFX ni utundu unaoongezwa katika filamu, shoo ya television au video games kufanya iwe nzuri na inayovutia zaidi. Mara nyingi VFX inatumika katika wakati inapoonekana ni vigumu kutengeneza katika hali halisi au kwa bajeti ya fedha iliyopo. Mfano katika movies za star wars ambazo zinaelezea story za huko mwezini, katika hali ya kawaida ni vigumu kwa watengeneza filamu kwenda na kushutia movie mwezini kwa hiyo wanatumia utundu wa VFX kwa kompyuta kufanya scenes zilizoshutiwa studio ionekane kwamba ilishtiwa mwezini. Au kwa mtu ambaye hana bajeti au uwezo wa kuweka mlipuko wa bomu kwenye muvi yake kwa kuwa hana hela ya kuweza kulipua bomu katika hali ya kawaida, inabidi atumie utaalamu wa kompyuta kutengeneza bomu hilo. Mtu wa kawaida akiiangalia muvi hiyo atadhani ni kweli watengenezaji wa filamu ile walilipua bomu la kweli kumbe liliwekwa kwa kompyuta. Nadhani melezo haya yatakuwa yameeleweka.

Kampuni yangu tunatumia teknologia ya komputa CGI (Computer-generated Imagery) katika kufanikisha kazi hii ya VFX. Huduma tunazotoa ni kama zifuatazo;

Green screen – Hii ni teknologia inayotumika kushuti mtu au kitu akiwa au kikiwa mbele ya kitambaa cha kijani (au wakati mwingine cha bluu) na kwa kutumia kompyuta kuondoa background ile na kuweka picha au video yoyote ile. Hiyo itafanya mtu au kitu kile kionekane kiko sehemu tofauti. Mfano: Greenscreen sample - YouTube

Set extension – Hii ni namna ya kuongeza vitu kwa kutumia komputa ambavyo havikuwapo kwenye ile scene wakati wa kushuti. Ni kama Photoshop ila sasa hii ni kwenye video.

Trailer titles

Logo design

Gun effects – Hii kwa kutumia kompyuta tunatengeneza effects katika scene ya filamu inayoshirikisha mapigano ya risasi. Kwa kuwa kupata silaha za kweli ni kazi nzito, badala yake tunatumia toy guns za plastiki na kuziongezea moto wa risasi na kufanya ionekane kama vile ilishutiwa kwa kutumia silaha za kweli za moto. Pia tunaweka mashimo ya risasi kwenye ukuta kwa kutumia kompyuta. Mfano: Gun fight sample - YouTube

Explosions – Pia kutokana na kuwa ni ukweli uliowazi kwamba ni gharama kubwa sana kushuti filamu ikiwa na mlipuko wa bomu wakweli, sisi kwa kutumia teknologia hii tunatengeneza mlipuko wa bomu kwa ajili ya filamu yako. Mfano: Explosion sample 2 - YouTube au Explosion sample 1 - YouTube Mifano hiyo miwili ya gun effects na explosions nimetoa sample kutoka katika shot film niliyofanya na rafiki zangu.

Bei zetu;

Greenscreen – Sh. 50,000 kwa shot moja
Set extension – Sh. 100,000 kwa shot moja
Trailer titles – Sh, 50,000 kwa trela nzima
Logo design – Sh. 200,000 kwa logo
Gun effects – Sh. 1,000,000 kwa scene moja
Mlipuko wa bomu – Sh. 1,500,000 kwa bomu moja au lenye shots kadhaa. Mfano hilo bomu la gari hapo juu lina shots 4.

Kwa maswali, ushauri na mawasiliano, wasiliana nami kwa:

mediazetutz@gmail.com
+255718429151 au ni-pm tu.

Asante.
 
Cool stuff. Ila kama vile bei zako kubwa sana. Punguza hizo bei maana hizo services zinahitajika ktk movie industry yetu kwa sasa. Sana sana hizo gun effects.
 
Kuhusu bei ni kwamba, hizi kazi ni ngumu mno kufanya ndo maana bei inakuwa kubwa hivyo. Ila kuanzia 15 july mpaka 30 august, kutakuwa na OFFER ya punguzo la 10% ya bei! So consolata changamkia dili hili.
 
Bei zako ziko chini sana mkuu, unaua soko letu bana angalau kiasi fulani hapo kwenye bomu inalipa ila huko kwingine umefanya cheap!
 
Hebu fikiria, Action Essentials I&II Packages unaipata kwa sh ngapi? Adorage Effect unaipata kwa sh ngapi? Ukiongeza na muda wa kudesign plus muda wa shooting and rendering, acha bana unaua soko!
 
Mnanunuaga genuine nyie, mnashusha pirated afu mnazuga "bei ghali"!...hahahhaaa
 
Ebu kwanza nikuombe kazi ya kudesign website, maana kazi zako ukiwa na website inakuwa nzuri zaidi. Na unaonaje ukitupia hapa sample za kazi zako halisi, ulizofanya wewe mwenyewe tuone mkuu tukuletee wateja wa uhakika.
 
Bei zako ziko chini sana mkuu, unaua soko letu bana angalau kiasi fulani hapo kwenye bomu inalipa ila huko kwingine umefanya cheap!

Sio kwamba baua soko, nafanya hivi ili kuwasaidia watanzania wasio na uwezo kifedha ila wana story nzuri za kuelezea kwenye filamu zao wapate nafasi ya kufanya hivyo na sisi watanzania tuburudike na kuelimika kutokana na kazi zao. Usijifikirie wewe tu kupata faida, ila fikiria na wenzako pia wanufaike na sisi wote tuendelee kuburudika na filamu zetu za kitanzania.
 
Hebu fikiria, Action Essentials I&II Packages unaipata kwa sh ngapi? Adorage Effect unaipata kwa sh ngapi? Ukiongeza na muda wa kudesign plus muda wa shooting and rendering, acha bana unaua soko!

Sisi tunatumia action essentials 2 pamoja na za kwetu tulizozidizaini from scratch kwa kutumia 3D Studio Max na Afterburn
 
Ebu kwanza nikuombe kazi ya kudesign website, maana kazi zako ukiwa na website inakuwa nzuri zaidi. Na unaonaje ukitupia hapa sample za kazi zako halisi, ulizofanya wewe mwenyewe tuone mkuu tukuletee wateja wa uhakika.

Website ya kampuni yetu iko katika hatua za uuundwaji na itakuwa hewani baada ya muda mfupi.
 
Kuhusu bei ni kwamba, hizi kazi ni ngumu mno kufanya ndo maana bei inakuwa kubwa hivyo. Ila kuanzia 15 july mpaka 30 august, kutakuwa na OFFER ya punguzo la 10% ya bei! So consolata changamkia dili hili.

Nimeku-pm kuhusu maelezo ya project yangu ijayo. Nataka unifanyie hiyo gun effects, ila itabidi unipunguzie bei kidogo.
 
Nashukuru kwa kutupa hiyo tender. Sisi tutakupunguzia 10% ya hiyo bei hapo juu. Check inbox yako nimekutumia maelezo muhimu.
 
Back
Top Bottom