Huduma za Shirika la Posta kwa njia ya mtandao

Samcezar

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
13,093
Reaction score
22,810
Habari wadau!

Wiki iliyopita nilikuwa natazama taarifa ya habari. Na miongoni mwa habari ilikuwa ni ya uzinduzi wa huduma za posta nadhani dodoma.

Mojawapo ya uzinduzi ilikuwa ni pamoja na upatikanaji wa huduma hizi kwa njia ya mtandao. Hivyo ina maanisha kwa sasa hauna haja ya kwenda ofisi za posta kujisajiri ili kupata sanduku la posta bali unachofanya ni kujisajiri kwa kutumia simu yako janja na kuweza kucontrol sanduku lako ukitumia simu yako.

Bado naendelea kujifunza maana ndio kwanza nimejiunga leo na sanduku hilo na sijalipia hata ada yake. Ila tu nilikuwa nataka kushare nanyi ili kwa wasiojua wajue na kutest mitambo na kwa wanaojua mtufahamishe juu ya changamoto na faida za mfumo huu mpya.
 
Wazee wetu wa posta wameanza kuamka ni dalili njema!
 
Asante mkuu Kwa kushare .

Wacha na mimi nijaribu kujiunga,,,nilikuwa nahitaji sanduku la posta ila changamoto ilikuwa ni muda wa kwenda huko kufwatilia.
Kama wamerahisisha hivi mambo basi ni vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wadau!

Wiki iliyopita nilikuwa natazama taarifa ya habari. Na miongoni mwa habari ilikuwa ni ya uzinduzi wa huduma za posta nadhani dodoma.

Mojawapo ya uzinduzi ilikuwa ni pamoja na upatikanaji wa huduma hizi kwa njia ya mtandao. Hivyo ina maanisha kwa sasa hauna haja ya kwenda ofisi za posta kujisajiri ili kupata sanduku la posta bali unachofanya ni kujisajiri kwa kutumia simu yako janja na kuweza kucontrol sanduku lako ukitumia simu yako.

Bado naendelea kujifunza maana ndio kwanza nimejiunga leo na sanduku hilo na sijalipia hata ada yake. Ila tu nilikuwa nataka kushare nanyi ili kwa wasiojua wajue na kutest mitambo na kwa wanaojua mtufahamishe juu ya changamoto na faida za mfumo huu mpya.
Ila barua mpaka ufuate kwenye hako kasanduku ?

Wangekuwa na Busara ni kusogeza hizo huduma karibu na mteja (ingawa watumiaji wa P. O. Box wamepungua) wangejikita pia kwenye door to door service nadhani hiyo ndio haipo extinct...

Pili wasitumie monopoly na mabavu kubana makonda waliokuwa wanatupatia service murua kushinda hawa Posta (washindane nao tu tupate mshindi) mteja ndio achague...

Sitaki kuamini uzinduzi wote huo na mbwembwe ilikuwa tu kuweza kupata kibox online, lazima kuna zaidi ya hayo
 
Niliona wamepewa magari kibao.. nadhani ndipo wanaelekea huko.....
 
Kwenye website ya smartposta kuna option mbili ambayo kuna virtual posta na physical posta ni ipi umechaguwa? Ntka nijiunge na mm
 
Wakiweza ya kusambaza mizigo hasa mikubwa aidha ya ndani ya mikoa, toka nje ya nchi pia basi watapiga mpunga. Ila tunarudi pale pale.
UAMINIFU. WAACHE WIZI. KODI ZIWE NAFUU. WAWE WANA DELIVER ON TIME NA KWA UFASAHA
 
Wizi hawawezi acha maana hiyo ni kama asili yetu watanganyika kila raia ni mwizi tu kwa nafasi yake baba anamuibia mwajiri wake, mama anamuibia baba,watoto wanamuibia mama yaani ni full mkanganyiko
 
Wakiweza ya kusambaza mizigo hasa mikubwa aidha ya ndani ya mikoa, toka nje ya nchi pia basi watapiga mpunga. Ila tunarudi pale pale.
UAMINIFU. WAACHE WIZI. KODI ZIWE NAFUU. WAWE WANA DELIVER ON TIME NA KWA UFASAHA
Kama kuuza tu vifungashio vya parcel mbalimbali wameweza unadhani hili watalimudu.Wana mapungufu mengi ila tunawavumilia tu
 
Back
Top Bottom