Huduma za research na data analysis

I and myself

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
328
324
Tunatoa huduma za ushauri juu ya uandishi wa research..data analysis.. pia tunatoa elimu ya maswala ya livelihood
 
Unaweza ku run multinomial model kwa kutumia SPSS kama stata ina kupa shida na majibu yote yakawa yana leta maana sawa.. madhumuni makubwa ya kutumia model katika kufanya analysis ni kuangalia relationship katika variables zako.. hapo una variable ambazo ni Y na unazo za X sasa unataka kuangalia P value ya hizo variables kama ni significant au sio significant/ p<0.005 au p>0.005... so kama unaona huwezi ku run kwa stata unaweza uka run kwa spss..
 
Back
Top Bottom