Huduma za CRDB | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huduma za CRDB

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kilinzibar, Jun 30, 2008.

 1. Kilinzibar

  Kilinzibar Senior Member

  #1
  Jun 30, 2008
  Joined: Mar 6, 2008
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari za leo napenda kusema hili mana leo nimeudhika sana na Hii bank ya CRDB,ishu ni kwamba nimefanya application za kurenew kadi yangu sasa ivi ni mwezi na baada ya kuapply na bado jamaa wananiambia bado kadi nimekwenda kurenew mwezi wa tano mwishoni sasa naelekea mwezi wa saba na hakuna uhakika wa lini nitapata hiyo kadi...sasa ishu iko pale mtu au mteja anahitaji huduma ya kibank ili apate huduma kwa haraka inabidi atumie ATM sasa kama hawa jamaa wanakuwa mana sijui niseme uzembe au nini mteja huyu inabidi apange foleni tena sasa hapa kuna maana yoyote ya kuwa na ATM? isitoshe jamaa hawana hata service za maana au labda ni branch yangu yaani utafikiri nimepeleka hela sehemu niliokuwa na daiwa kumbe ni hela yangu na jamaa kwa hela hiyo ndio mshahara wake hapo hapo!!!
  Sasa wadau naomba tuwaamnshe hata hawa wa mabank nao mana naona wanataka kupotosha huduma hii au walio wazembe basi watimuliwe wakajaribu fani nyingine.
   
Loading...