Huduma za changudoa

Hahahahahaaaaa nakubaliana na weee, juzi nilionyeshwa huo unga, aiseee Yaani ni kiduchu kweli jamaa anauza buku mbili. Nilitamani kupiga picha jamaa akamaind. Polisi nimewapigia weee hadi mkubwa wao lakini Mmmghhh

Mkuu utakuta mtu siku 3 tayari anamiliki gari hapa tz yapo mawili tu, ana nyumba tano na makorokoro kibao, ukiuliza kazi yake utakuta ana saloon na kiduka cha nguo tu......
 
Kalaghabao wee sijui uko dunia ya ngapi?condom hazizuii maambukizi ya vvu.Condom zinazuia magonjwa mengine ya ngono,mimba pia ila si vvu.Condoms zote zina vitobo vidogovidogo ambavyo ni ukubwa wa 1.5 na kirusi cha ukimwi kina ukubwa wa 0.5. Ukisurvive gonjwa na huku mzururaj shukuru rehema za Mungu si useme kondom umekusaidia.Tafuta mpenzi mmoja mwaminifu.Mshirikishe Mungu kama ni unaamin katika Mungu.Okay bye
 
Mkuu Superstar 1, umesema kweli kabisa!, hata mimi niliwahi kuisema hii kitu humu, Opinion: Is It Not, Its High Time, Tanzania Tuhalalishe....
P
 

Weka units za hizo figures zako ueleweke.
 
Hahahahahahahaha mbona madada poa wapo kibao nenda manzese tiptop utawakuta na namba watakupa counta book lenye no zao ni wewe tu full kuhondomola!!!!
 
Hahahahahaaaaa nakubaliana na weee, juzi nilionyeshwa huo unga, aiseee Yaani ni kiduchu kweli jamaa anauza buku mbili. Nilitamani kupiga picha jamaa akamaind. Polisi nimewapigia weee hadi mkubwa wao lakini Mmmghhh

usithubutu tena kufanya hvyo kaka angu kiroho safi tu
miaka michache iliyopita binamu yangu alipiga simu kumripoti mtu kua ni muuza sembe,mamwela wakatia timu kwa yule mshkaji na defender bas wakamkuta jamaa maana walimkagua wakakutana nao
akawaambia ngoja nimwite mtu anaenieletea akampigia akafika alivyofika...!!!staki kusema ni nani ila maaskari wenyewe waliblow akawaambia huyu kijana wangu!
mamwe la wakamtaja binamu wakasema vp tumgeuze kesi...?!!
mshikaji alikua muungwana akasema msameheni bado mtoto hajui life
 
haya mambo c ndo yalizifany sodama na gomora kuangamizwa bila huruma na Mwenyezi Mungu watch out guyz
 
Ngoja nipitie hesabu kwanza za mchepuko wa kitaa unaeamini uko mwenyewe na changu anaejiuza.
Ukitaka kutoka na mtoto wa kitaa-chumba 30,000/
Kunywa pamoja na msosi gharama ya chini sana 40,000/
Kabla hamjatoka hela ya saloon 30,000/bado vocha,
Uchakavu na nauli ya kumrudisha 40,000/.
Jumla 140,000/,hizi ni gharama za kawaida tu.
Changu anaejiuza,chapchap 10,000/au 15,000/ no expenses za chakula wala kinywaji,sex ni mahala popote kwenye gari,hata porini.
Usiku kucha 30,000/ mpaka 50,000/kufuatana na quality yake no other expenses na mkimalizana no kutafutana business kwishneh,nilisahau vibomu vya mara kwa mara vya michepuko ya kitaa,oh vocha mara nna hamu na chips yani shida tupu,changu unakwenda kusex ukiwa umejiandaa na vifaa,mtaani unajiaminisha uko peke yako matokeo yake mnayajua.
Me simo nikijiskia navuta changu tunamalizana kisela no kujuanajuana.
 

tarime one mnnnnnnnn??
 
Hapa wengi watapinga ila ukweli tunaujua.
Hawa wadada/wamama hawana gharama kabisa na huwezi kuwapiga denda wala kuzama chumvini na muda wote unatumia kinga ingawa wengi wanabeza.
Stress free zone. No SMS,no call
 
Please wait....the system is downloading some data......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…