Kwa kweli tunafanya kazi ktk mazingira magumu sana.dawa na vifaatiba vya kumsaidia mama mjamzito hakuna,lakini tunaimba wimbo wa MDG kupunguza vifo vya akinamama.Nimekwenda hospitali ya wilaya kuomba oxytocin,hakuna wananiambia nitumie ergometrine.hakuna magnesium sulphate inj,hakuna ringer's lactate wala normal saline!hata nyuzi za kushonea hakuna.Yaani hali ni mbaya hata chumba maalum kwa premature babies hakuna.