Huduma za afya bure kwa u5 na wajawazito.

Mdede

New Member
Jan 14, 2011
2
0
Serikali ya ccm na wabunge wake wamekuwa wakiwatangazia wananchi eti huduma za afya kwa watoto chini ya m5,wajawazito na wazee matokeo yake wanakuja na kukuta huduma hazipo, matokeo yake manesi na madaktari wanabaki kutukanwa eti hawatoi huduma nzuri, mara nyingi madaktari wanawaandikia wagonjwa mahitaji wakanunue. Lakini pia hata wagonjwa wengine wanalipia huduma matokeo yake hata huduma wanayolipia hawapati je haya ndo maisha bora? Tufike mahali tuwerealistic wahudum wa afya wanapata matusi na wengine wanapigwa na relatives eti hawatoi huduma, hawa wahudumu watoe nin kama madawa, canula na drips hazipo. Wa jf tuelimishe jamii ielewe kudai haki zao. Kumtukana nes au dr si kutatua tatizo ila tatizo ni watwala hawatoi hela. Kazi kukazana kulipa dowans wananchi wao wanakufa kila siku.
 
Labda mashehe wanapata hizo huduma,maana tokea ccm wawakabidhi mradi wa udini wanachohubiri tunapopinga vitu vya namna hii unaonekana umetumwa na maaskofu.MASHEHE AMKENI otherwise ndege ya kuikomboa nchi itawaacha airpot
 
Huduma za afya kwa kweli zinasikitisha, eti huduma bure ukienda unaambiwa madawa hakuna! Kwa kweli hii inasikitisha!
 
Kwa kweli tunafanya kazi ktk mazingira magumu sana.dawa na vifaatiba vya kumsaidia mama mjamzito hakuna,lakini tunaimba wimbo wa MDG kupunguza vifo vya akinamama.Nimekwenda hospitali ya wilaya kuomba oxytocin,hakuna wananiambia nitumie ergometrine.hakuna magnesium sulphate inj,hakuna ringer's lactate wala normal saline!hata nyuzi za kushonea hakuna.Yaani hali ni mbaya hata chumba maalum kwa premature babies hakuna.
 
halafu unakuta Donors wametoa vifaa lakini wizara kwa ukiritimba wanaviweka store mpaka vinaharibika!
imagine Health Centres wakinamama kujifungua kwa mwanga wa kandili ya kerosene? hata solar lights imeshindikana?
No refferal in case of clinical surgery...oh no inaumiza sana unapokuta ambulance haina mafuta ama wakubwa wanaitumia kwenye kusndikiza misafara ya wanasiasa
 
haya ni juzi tu ndugu yamenikuta,niliomba ambulance kumsafirisha mama mjamzito usiku kwenda hosp ya wilaya,nikajibiwa kuwa gari haina mafuta,ilibidi tumuwahishe kwa pikipiki,too sad!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom