Huduma ya Wakala wa HaloPesa imerahisishwa

henrymavulla

New Member
Joined
Jun 2, 2013
Posts
1
Reaction score
3
Sasa Huduma hii ya kuwa Wakala wa Halopesa imerahisishwa. Pata kumiliki line yako ya Wakala wa HaloPesa ndani ya Masaa 24. Vigezo na Masharti kuzingatiwa.

Mahitaji/Viambatanisho:
1. Kopi ya TIN namba
2. Kopi ya Leseni ya Biashara
3. Kopi ya Kitambulisho
4. Namba ya Halotel

Kopi hizi zote, pamoja na namba ya simu ya Halotel itakayokuwa ya uwakala zinaweza kutumwa kwa Whatsapp - 0629102314.

Ndani ya Masaa 24, namba yako itakuwa tayari inaweza kufanya miamala kama wakala. Kumbuka Huduma hii haina Malipo yoyote-yaani ni Bure kabisa.

Kwa mawasiliano zaidi usisite kutupigia kwa namba hii: 0628070188 wakala mkuu wa HaloPesa.

Nahitaji line ya uwakala ya halopesa???
 
Back
Top Bottom