Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,369
- 1,337
Duh mbona hatari hii...Wakuu kwa nyie mnaotumia huduma ya vodacom supakasi baada ya malipo mlikaa siku ngap mkafungiwa huduma sisi tuna wiki mbili tunapigwa Kiswahili tu au ndio mkono mtupu haulambwi. Tuma email napigiwa simu nafokewa.
Gharama yake ni sh ngapi kufungiwa?Wamefunga huduma iko safiView attachment 2247909
Mkuu unaweza tuwekea picha ya antena ya nje tuone muonekano wake?.Wamefunga huduma iko safiView attachment 2247909
Iko juu batini iko vizur wako kasi kweli kweli japo ni kifurushi cha 115000Mkuu unaweza tuwekea picha ya antena ya nje tuone muonekano wake?.
230000Gharama yake ni sh ngapi kufungiwa?
Hatimae tumepata mhusika ambae anaweza kutuelezea kila kitu, hakika utakuwa msaada kwetu mkuu..Iko juu batini iko vizur wako kasi kweli kweli japo ni kifurushi cha 115000
Unalipia 230000 kam pesa ya ulinzi miezi miwili ya mwisho wa mkataba hutolipia watakata kwenye hiyo pesa afu ukifungiwa unaanza kutumia unalipa mwezi ukiisha 115000Hatimae tumepata mhusika ambae anaweza kutuelezea kila kitu, hakika utakuwa msaada kwetu mkuu..
Gharama za kufunga hio supakasi ni shingapo kiujumla kuanzia mafundi, vifaa, n.k.
Unapofungiwa mara ya kwanza unalipia kile kifurushi cha kwanza au unaanza kulipia mwezi ujao?
kiufupi tunaomba uchambuzi wa gharama za kufaniskisha ufungiwe hio supa kasi
Kwa hio hapo ni kwama ukifungiwa hio huduma tarehe 1 january ni kwamba ukilipia hio 230,000 utafungiwa kila kitu na kuanza kutumia internet, ikifika tarehe 1 february ndio utalipia hio 115,000 kwajili ya mwezi wa january au sio ?Unalipia 230000 kam pesa ya ulinzi miezi miwili ya mwisho wa mkataba hutolipia watakata kwenye hiyo pesa afu ukifungiwa unaanza kutumia unalipa mwezi ukiisha 115000
Ndio kabisaKwa hio hapo ni kwama ukifungiwa hio huduma tarehe 1 january ni kwamba ukilipia hio 230,000 utafungiwa kila kitu na kuanza kutumia internet, ikifika tarehe 1 february ndio utalipia hio 115,000 kwajili ya mwezi wa january au sio ?
Halafu mwezi wa 11 na 12 hutalipia ila utaanza kulipia upya mwezi january mwaka ujao ?
Hii kitu nipo serious sana nifunge nyumbani maana tunapitwa na mengi sana kwenye huu ulimwengu wa internet, yani vitu kama netflix nashindwa kuvitumia kwasababu ya vifurushi ghali.
vipi lakini, huduma yao ni ya uhakika ama kuna kipindi huwa inakata ?Ndio kabisa
Hapo mpaka waje wakufungie kuna changamoto...mi unaenda mwezi sasa huduma sijapata.sijui wana matatizo gani hata siwaelewi.Hatimae tumepata mhusika ambae anaweza kutuelezea kila kitu, hakika utakuwa msaada kwetu mkuu..
Gharama za kufunga hio supakasi ni shingapo kiujumla kuanzia mafundi, vifaa, n.k.
Unapofungiwa mara ya kwanza unalipia kile kifurushi cha kwanza au unaanza kulipia mwezi ujao?
kiufupi tunaomba uchambuzi wa gharama za kufaniskisha ufungiwe hio supa kasi.
Pia huwa inachukua muda gani mpaka wakamilishe zoezi la kufunga, maana huwa naskia wanakaguaga kwanza eneo sasa isije ikawa wanarudi baada ya mwezi
Ongea na ma engineer sio customer care,Hapo mpaka waje wakufungie kuna changamoto...mi unaenda mwezi sasa huduma sijapata.sijui wana matatizo gani hata siwaelewi.
Mpaka sasa hatujaona tatizo lolotevipi lakini, huduma yao ni ya uhakika ama kuna kipindi huwa inakata ?
Mvua ikinyesha vp ?