Brain Kingdom
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 7,002
- 14,566
Asante sana Kwa kuainisha bayana hii kero mamlaka zifanye kazi, vipi mipaka ya OSHA iko wapi , ni hatari sanaHabari wana Jf
Kuna changamoto kadhaa kwenye tren zetu za Dar to Arusha/ Arusha to Dar la kuhusu huduma kwa ujumla hususani kwa watalii ambao wanatumia huu usafiri ni la kulifanyia kazi haswa ukizingatia
Kwa sasa wazungu /watalii wengi wanapanda hizi tren kama sehemu ya utalii au budget Transportation ila kuna vitu kama:
1 Lugha inayotumiwa ni Kiswahili peke yake kwa matangazo yote ya muhimu ila kwa ndugu zetu hawajui nini kinaendelea hii inapelekea watalii kuona hii huduma siyo kwajili yao kwakua hakuna system iliyowekwa kuhakikisha matangazo yote na taarifa zote zinazotelewa ndani ya usafiri huu zinamfikia kila mteja aliyepo ndani ya usafiri.
2 Muda.
Cha kushangaza zaidi hakuna kujali muda hata kidogo mfano tren inatakiwa kuondoka saa nane na wasafiri wote wapo hapo ila muda tren itaondoka ni tofauti na uliopangwa. Tangazo linatangazwa kwa Kiswahili kuwa moshi tunakaa saa moja na wasafiri wanakalishwa masaa mawili bila tangazo lolote linalosema muda umebadilika. Hii ni disappointment sana kwa service oriented industry kama transportation and tourism.
3.Restaurant/ Bar.
Mpangilio wa utoaji wa vinywaji na Chakula mbovu na haufamiki ni wa nchi gani. Ni bora kukawa na buffet mbili kulingana na class za tickets. Huwezi changanya buffet VIP na ya kawaida sehemu moja lazima kuwe na mpangilio wa kihuduma, wahudumu wengi wao wa bar na chakula hawajui hata namna ya kuwahudumia hawa ndugu zetu, poor communication skills, poor service, poor personal hygiene. Ni vitu vidogo vinavyoonekana kama havina umuhimu ila kimsingi vina umuhimu mkubwa kwakua wageni huwa wanalinganisha huduma wanazopata sehemu zingine na mwisho huwa wanatoa maoni yao kwenye platform kubwa za usafiri duniani kama TripAdvisor na Nina wasiwasi mkubwa kama hii train zetu zipo listed kwenye TripAdvisor.
4. Usafi.
Mazingira ya stations zetu sio rafiki hata kidogo ni chafu sana na viongozi wakuu wa shirika wapo hapohapo uchafu unatupwa hovyo na wahudumu wa treni wenyewe madirishani safari nzima na watalii wetu wanashika vichwa na kupiga picha. Sasa hii ni tunabomoa kabisa wala si kujenga kwakua Serikali haiwezi kutoa mabillioni ya pesa kutengeneza reli alafu ishindwe kusimamia usafi, this is a disgrace. Kesho mkiweza nendeni hapo Arusha ofisin kabisa mtaona uchafu wa wazi kabisa
Kuna mambo mengi ya kuangalia kwa kina kama tunataka kweli kuitangaza nchi yetu mana kuna vitu vingine havipaswi kuandikwa humu ila ningeomba viongozi wetu wa Utalii nao siku moja wapabynde huu usafiri wa treni ili waweze kupata point za kuzifikisha sehemu husika kwani watalii wanaopanda hii tren ni wengi na kama wataendelea kukutana na hali kama hii ni wazi hawawezi kuwashauri wageni wenzao kutumia huduma za reli za Tanzania.
Hamna jambo likafanywa na CCM lisiambatane na aibuHabari wana Jf

Halafu wao hata hawajisikii wala kuona aibu, kuibua kero kunatafsiriwa kama kuivua nguo Serikali ya CCM😀😀😀Hamna jambo likafanywa na CCM lisiambatane na aibu
Ukiwaambia mabaya wanasema wewe ni mchocheziHalafu wao hata hawajisikii wa kuona aibu, kuibua kero kunatafsiriwa kama kuivua nguo Serikali ya CCM😀😀😀
Huu msemo ukiufata sana utaumiaWhen in Rome, Do as the Romans Do.
Kwani wazungu hawaujui huu msemo..!??
Treni inafanya safari kati ya Dar Arusha, halafu unakerwa na matumizi ya kugha ya kiswahili kwenye matangazo! Ulitaka watangaze kwa lugha gani?Habari wana Jf
Kuna changamoto kadhaa kwenye tren zetu za Dar to Arusha/ Arusha to Dar la kuhusu huduma kwa ujumla hususani kwa watalii ambao wanatumia huu usafiri ni la kulifanyia kazi haswa ukizingatia
Kwa sasa wazungu /watalii wengi wanapanda hizi tren kama sehemu ya utalii au budget Transportation ila kuna vitu kama:
1 Lugha inayotumiwa ni Kiswahili peke yake kwa matangazo yote ya muhimu ila kwa ndugu zetu hawajui nini kinaendelea hii inapelekea watalii kuona hii huduma siyo kwajili yao kwakua hakuna system iliyowekwa kuhakikisha matangazo yote na taarifa zote zinazotelewa ndani ya usafiri huu zinamfikia kila mteja aliyepo ndani ya usafiri.
2 Muda.
Cha kushangaza zaidi hakuna kujali muda hata kidogo mfano tren inatakiwa kuondoka saa nane na wasafiri wote wapo hapo ila muda tren itaondoka ni tofauti na uliopangwa. Tangazo linatangazwa kwa Kiswahili kuwa moshi tunakaa saa moja na wasafiri wanakalishwa masaa mawili bila tangazo lolote linalosema muda umebadilika. Hii ni disappointment sana kwa service oriented industry kama transportation and tourism.
3.Restaurant/ Bar.
Mpangilio wa utoaji wa vinywaji na Chakula mbovu na haufamiki ni wa nchi gani. Ni bora kukawa na buffet mbili kulingana na class za tickets. Huwezi changanya buffet VIP na ya kawaida sehemu moja lazima kuwe na mpangilio wa kihuduma, wahudumu wengi wao wa bar na chakula hawajui hata namna ya kuwahudumia hawa ndugu zetu, poor communication skills, poor service, poor personal hygiene. Ni vitu vidogo vinavyoonekana kama havina umuhimu ila kimsingi vina umuhimu mkubwa kwakua wageni huwa wanalinganisha huduma wanazopata sehemu zingine na mwisho huwa wanatoa maoni yao kwenye platform kubwa za usafiri duniani kama TripAdvisor na Nina wasiwasi mkubwa kama hii train zetu zipo listed kwenye TripAdvisor.
4. Usafi.
Mazingira ya stations zetu sio rafiki hata kidogo ni chafu sana na viongozi wakuu wa shirika wapo hapohapo uchafu unatupwa hovyo na wahudumu wa treni wenyewe madirishani safari nzima na watalii wetu wanashika vichwa na kupiga picha. Sasa hii ni tunabomoa kabisa wala si kujenga kwakua Serikali haiwezi kutoa mabillioni ya pesa kutengeneza reli alafu ishindwe kusimamia usafi, this is a disgrace. Kesho mkiweza nendeni hapo Arusha ofisin kabisa mtaona uchafu wa wazi kabisa
Kuna mambo mengi ya kuangalia kwa kina kama tunataka kweli kuitangaza nchi yetu mana kuna vitu vingine havipaswi kuandikwa humu ila ningeomba viongozi wetu wa Utalii nao siku moja wapabynde huu usafiri wa treni ili waweze kupata point za kuzifikisha sehemu husika kwani watalii wanaopanda hii tren ni wengi na kama wataendelea kukutana na hali kama hii ni wazi hawawezi kuwashauri wageni wenzao kutumia huduma za reli za Tanzania.
Siku ya kiama CCM na viongozi wao wa kiserikali watapata hukumu zaidi ya lile tukio la movie ya apocalyptoUkiwaambia mabaya wanasema wewe ni mchochezi
Stupid mind. Unajua northern cirtcuit ni kituo kikubwa cha safari za kitalii Kuanzia Arusha National Park, Tarangire National Park, Lake Manyara National, Mount Meru, Mount Kilimanjaro all the way to Serengeti na kwingineko, unajua ni idadi ya wageni wangapi wana access huduma zetu za usafiri ikijumuishwa tren?. Je unatambua Kanda ya kaskazini specifically Arusha ni ya ngapi kwa kutembelewa na kutazamwa kwenye mitandao ya usafiri ya kimataifa duniani? Kuna vitu havikupaswa kuwa kero zetu kabisa kwa sababu ni nonsense. Kwaiyo swala la kuwa na lugha 2 za kutolea maelezo kwa wasafiri ni muhimu kwakua usafiri huu ushakua international kwaiyo na wewe punguza UJINGA kidogo kwa kuelewa ilo.Treni inafanya safari kati ya Dar Arusha, halafu unakerwa na matumizi ya kugha ya kiswahili kwenye matangazo! Ulitaka watangaze kwa lugha gani?
Kwani ikitokea umeenda kwenye nchi za hao watalii, na huko huwa wanatangaza kwa lugha gani? Mana maelezo yako karibia yote, yameegemea kwa hao watalii wako, as if ni watu special sana.
Kama unaona huduma ni mbovu, si uwashauri hai watalii wako wakodi magari maalum!
Kwaiyo! Kwaiyo! .....kuelewa ilo! . .... kwakua! .....swala.! ....... usafiri huu ushakua...! Ona sasa! Hata kiswahili chenyewe tu, hujui! Halafu bado unataka matangazo kwa lugha za kigeni.Stupid mind. Unajua northern cirtcuit ni kituo kikubwa cha safari za kitalii Kuanzia Arusha National Park, Tarangire National Park, Lake Manyara National, Mount Meru, Mount Kilimanjaro all the way to Serengeti na kwingineko, unajua ni idadi ya wageni wangapi wana access huduma zetu za usafiri ikijumuishwa tren?. Je unatambua Kanda ya kaskazini specifically Arusha ni ya ngapi kwa kutembelewa na kutazamwa kwenye mitandao ya usafiri ya kimataifa duniani? Kuna vitu havikupaswa kuwa kero zetu kabisa kwa sababu ni nonsense. Kwaiyo swala la kuwa na lugha 2 za kutolea maelezo kwa wasafiri ni muhimu kwakua usafiri huu ushakua international kwaiyo na wewe punguza UJINGA kidogo kwa kuelewa ilo.
Hasa kipande cha Arusha Moshi kina vumbi mno- Hii treni ilifufuliwa kibishi na JPM.
Naongwmezea: kuingiza vumbi, yaani ukifika lazima uingie bafuni ubadili nguo, la sivyo hata vichaa wanaweza kukimbia.
- Maboresho ni muhimu, Ila sioni kama ni kipaumbele cha shirika.
- Wenye mabasi wanatamani ife haraka sana, na vifaa viuzwe vyuma chakavu. Ni vita ya kiuchumi ndani kwandani.
- Uchafu na mswahili ni jamaa wanaopatana
Kupoje hebu tupe kidogo labda kelele zitapunguaUmewahi kufika India?utafuta hii kauli yako
Unashauri nini sasaHasa kipande cha Arusha Moshi kina vumbi mno
Pachafu mnoKupoje hebu tupe kidogo labda kelele zitapungua
Kwenye stesheni za hovyo nakuunga mkono Ila kwenye suala la lugha wasiojua kiswahili wajiongeze, mbona treni za ufaransa hawatangazi wala kuandika kiswahili?Habari wana Jf
Kuna changamoto kadhaa kwenye tren zetu za Dar to Arusha/ Arusha to Dar la kuhusu huduma kwa ujumla hususani kwa watalii ambao wanatumia huu usafiri ni la kulifanyia kazi haswa ukizingatia
Kwa sasa wazungu /watalii wengi wanapanda hizi tren kama sehemu ya utalii au budget Transportation ila kuna vitu kama:
1 Lugha inayotumiwa ni Kiswahili peke yake kwa matangazo yote ya muhimu ila kwa ndugu zetu hawajui nini kinaendelea hii inapelekea watalii kuona hii huduma siyo kwajili yao kwakua hakuna system iliyowekwa kuhakikisha matangazo yote na taarifa zote zinazotelewa ndani ya usafiri huu zinamfikia kila mteja aliyepo ndani ya usafiri.
2 Muda.
Cha kushangaza zaidi hakuna kujali muda hata kidogo mfano tren inatakiwa kuondoka saa nane na wasafiri wote wapo hapo ila muda tren itaondoka ni tofauti na uliopangwa. Tangazo linatangazwa kwa Kiswahili kuwa moshi tunakaa saa moja na wasafiri wanakalishwa masaa mawili bila tangazo lolote linalosema muda umebadilika. Hii ni disappointment sana kwa service oriented industry kama transportation and tourism.
3.Restaurant/ Bar.
Mpangilio wa utoaji wa vinywaji na Chakula mbovu na haufamiki ni wa nchi gani. Ni bora kukawa na buffet mbili kulingana na class za tickets. Huwezi changanya buffet VIP na ya kawaida sehemu moja lazima kuwe na mpangilio wa kihuduma, wahudumu wengi wao wa bar na chakula hawajui hata namna ya kuwahudumia hawa ndugu zetu, poor communication skills, poor service, poor personal hygiene. Ni vitu vidogo vinavyoonekana kama havina umuhimu ila kimsingi vina umuhimu mkubwa kwakua wageni huwa wanalinganisha huduma wanazopata sehemu zingine na mwisho huwa wanatoa maoni yao kwenye platform kubwa za usafiri duniani kama TripAdvisor na Nina wasiwasi mkubwa kama hii train zetu zipo listed kwenye TripAdvisor.
4. Usafi.
Mazingira ya stations zetu sio rafiki hata kidogo ni chafu sana na viongozi wakuu wa shirika wapo hapohapo uchafu unatupwa hovyo na wahudumu wa treni wenyewe madirishani safari nzima na watalii wetu wanashika vichwa na kupiga picha. Sasa hii ni tunabomoa kabisa wala si kujenga kwakua Serikali haiwezi kutoa mabillioni ya pesa kutengeneza reli alafu ishindwe kusimamia usafi, this is a disgrace. Kesho mkiweza nendeni hapo Arusha ofisin kabisa mtaona uchafu wa wazi kabisa
Kuna mambo mengi ya kuangalia kwa kina kama tunataka kweli kuitangaza nchi yetu mana kuna vitu vingine havipaswi kuandikwa humu ila ningeomba viongozi wetu wa Utalii nao siku moja wapabynde huu usafiri wa treni ili waweze kupata point za kuzifikisha sehemu husika kwani watalii wanaopanda hii tren ni wengi na kama wataendelea kukutana na hali kama hii ni wazi hawawezi kuwashauri wageni wenzao kutumia huduma za reli za Tanzania.
Kaa kushoto na lugha zako hizo, aliyekwambia hii treni inapitia tarangire au lake manyara ni nani?Stupid mind. Unajua northern cirtcuit ni kituo kikubwa cha safari za kitalii Kuanzia Arusha National Park, Tarangire National Park, Lake Manyara National, Mount Meru, Mount Kilimanjaro all the way to Serengeti na kwingineko, unajua ni idadi ya wageni wangapi wana access huduma zetu za usafiri ikijumuishwa tren?. Je unatambua Kanda ya kaskazini specifically Arusha ni ya ngapi kwa kutembelewa na kutazamwa kwenye mitandao ya usafiri ya kimataifa duniani? Kuna vitu havikupaswa kuwa kero zetu kabisa kwa sababu ni nonsense. Kwaiyo swala la kuwa na lugha 2 za kutolea maelezo kwa wasafiri ni muhimu kwakua usafiri huu ushakua international kwaiyo na wewe punguza UJINGA kidogo kwa kuelewa ilo.
Yote yote kama hufanyi basi usikwazike na wafanyao, ni utamaduni wao.Hata kwa mambo ya hovyo Mkuu?
Mfano panda treni Ujerumani. Wanatoa matangazo kwa Kijerumani na baadaye Kiingereza, maana kuna watalii na wageni wengi. Hata ni kawaida kuona maelekezo kuhusu matumizi ya madirisha na bafu kwa lugha mbalimbali kama vile Kifaransa, kiitalia, kituruki,Treni inafanya safari kati ya Dar Arusha, halafu unakerwa na matumizi ya kugha ya kiswahili kwenye matangazo! Ulitaka watangaze kwa lugha gani?
Kwani ikitokea umeenda kwenye nchi za hao watalii, na huko huwa wanatangaza kwa lugha gani? Mana maelezo yako karibia yote, yameegemea kwa hao watalii wako, as if ni watu special sana.
Kama unaona huduma ni mbovu, si uwashauri hao watalii wako wakodi magari maalum!