Habari wanajukwaa.
Tunatoa huduma inayorahisisha zoezi la upigaji picha na kuzichakata km inavyohitajika kwa ghrama nafuu popote ulipo.
Gharama
Picha moja utachangia sh. 100 tu
Kazi utakayofanyiwa ni.
1. Kurename picha bila kukosea jina la mtoto
2. Kuweka size ( dimensions)
3. Kuweka resolution
4. Kuweka 4kb
Kazi yako itakua kupiga picha watoto kama nitakavyokuelekeza na kuzituma kwangu kwa ajili ya kuzichakata. nakurudishia.
Mawasiliano.
1. Pm
2. Whatsapp/sms /call o763647I99
#4kb #72dpi
Pia natoa mafundisho kwa wateja wangu ili namna ya kufanya kazi hii kwa ufanisi