Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,656
ntarudi
Ok Thanks! Noamba unisaidie hizo namba zakeAnapatikana mission njia ya kwenda mbagala, mwanzoni alikuwa anatoa huduma pale kipati jirani na Saba saba kwa mpili. Anaitwa doctor Moses
Namba zake naweza kukupatia ukihitaji.
huduma ni nzur sana.. na pia bei n za kawaida.. npo fresh mkuu mpaka nyama natafuna vizuriAhsante kwa taarifa, vipi huduma zake
Nashukuru kwa mrejesho vipi ulipata huduma ya kuwekewa jino jipya /mapya au kung'oa tu?huduma ni nzur sana.. na pia bei n za kawaida.. npo fresh mkuu mpaka nyama natafuna vizuri
Mkuu vipi ulifanikiwa?Ok Thanks! Noamba unisaidie hizo namba zake
Nilifanikiwa kuongea na Dr. naenda this weekend coz mtoto alikuwa shule so amerudi ndio nimplekeMkuu vipi ulifanikiwa?
Sawa kila la kheri ktk matibabu yako. Mrejesho kama hivi unakuwa bora kwa wahitaji wengine.Nilifanikiwa kuongea na Dr. naenda this weekend coz mtoto alikuwa shule so amerudi ndio nimpleke
Binafsi nahitaji huduma ya meno bandia lakini mtoto anahitaji huduma ya braces, so nataka nianze na mtoto kwanzaMkuu vipi ulifanikiwa?
Vp ulifanikiwa kupata huduma? wengine tunahitaji huduma.Binafsi nahitaji huduma ya meno bandia lakini mtoto anahitaji huduma ya braces, so nataka nianze na mtoto kwanza
Bei zikoje mkuu?huduma ni nzur sana.. na pia bei n za kawaida.. npo fresh mkuu mpaka nyama natafuna vizuri
Nilifanikiwa kwa sehemuVp ulifanikiwa kupata huduma? wengine tunahitaji huduma.
Ulifanikiwa kwenye nini? Mimi nahitaji meno ya bandia.Nilifanikiwa kwa sehemu
Una mapengo?Ulifanikiwa kwenye nini? Mimi nahitaji meno ya bandia.
Hapana.Una mapengo?
PILEBaa inaitwaje mkuu