CHE GUEVARA-II
JF-Expert Member
- Jun 17, 2010
- 571
- 158
Wadau, habari zenu?
Naomba kujua ni wapi na ni kwa gharama kiasi gani na majibu yanapatikana ndani ya muda gani toka kupeleka sampuli (sample) ya maji kwa hapa Tanzania?
Nahitaji nijue maji toka katika kisima changu kirefu (borehole) yana ubora wa namna gani katika vitu vifuatavyo:
(1)Sodium in mg/L
(2)Potasium in mg/L
(3)Magnesium in mg/L
(4)Calcium in mg/L
(5)Chloride in mg/L
(6)Fluoride in mg/L
(7)Sulphate in mg/L
(8)Total Dissolved Solids (TDS)
(9)pH
Pamoja na kemikali zingine kama Arsenic, Mercury, Lead n.k