Bi dentamol
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 987
- 1,912
Niko mbali ndio maana nimeuliza MamyNenda muhimbili kaulize
Nitashukuru sanaNgoja tukuulizie kwa walio vitengo pale, tukipata majibu tutakuletea
Sawa asanteNgoja tuulizie
Ooh poleSawa ila ingekua inawezekana nisingefikia kuwaza njia hii
Wpendwa poleni na majukumu.
Naomba kuuliza kwa anaefahamu kama Mhimbili wameshaanza huduma ya kupandikiza mimba na gharama.
Naomben kufahamu.
Nimemaoma mahali kuwa njia hiyo haihitaji.Yamkini ana mume
Jaman mume ninae na imeshindikana kwa njia ya kawaida sababu mirija yangu ya uzazi imeharibikaHii ni nzuri lakini inaweza kuwa mbaya sana, wanawake kununua mbegu na kujipatia watoto bila wanaume..
Wanaume watakosa sifa za kuitwa baba
Jaman Mume ninae na hana tatizo ...tatizo mirija yangu ya uzazi imeharibika haiwez kupitisha mbeguMwambie, tambua ipo siku mtoto atakuuliza baba ake yupo wap utamwambiaje? Baba ako anaitwa muhimbili ama?ππππ
Du!Nilikutana na specialist wa urology pale muhimbili akaniambia bado hawajaanza hio huduma.
Hapo jipangeni tu mtafte fund ya kutosha mwende nje ya Tanzania nais huko huduma itapatikana kwa urahis, ikishindikana kwako kupandikizwa unaweza tafta mtu akawabebea ujauzito (surrogate mother) mkamlipaJaman Mume ninae na hana tatizo ...tatizo mirija yangu ya uzazi imeharibika haiwez kupitisha mbegu
Jaman Mume ninae na hana tatizo ...tatizo mirija yangu ya uzazi imeharibika haiwez kupitisha mbegu
Nitashukuru sana
Asante SanaSource yangu imeniambia bado haijaanza, ila inakuja soon na hata jengo bado halijakamilika...