RGforever
JF-Expert Member
- Apr 3, 2011
- 6,878
- 5,431
Ingawa Huduma hii ina Faida Kubwa kwa Pale utakapokuwa unaona Mtandao gani unakusumbua unauhama...
Ila Changamoto yake naona Ni pale Utakapohama Mtandao Mmoja kwenda Mwingine... Au utakapompigia Mtu Aliyehama tayari wakati ww unajua Namba Yake ya tigo ...Yeye Kahamia Voda halafu Unapiga Simu Unakatwa makato ya Kama Unapigia mtandao Mwingine.
Unaweza Ukawa Una dakika za Tigo pekee Mwenzako kahamia Vodacom. Ukipiga Hapo Lazima wakuambie salio halitoshi ingawa umempigia kwenye Namba yake ya Tigo...
Mi ninachoona TCRA na Mitandao Ya Mawasiliano waweke Menu ya Mtu Kuhama Mwenyew Kwa Muda Anaotaka kuliko sasa Hivi Kwamba Ukitaka Kurudi mtandao wako Inabidi Usubiri Siku 30. Inabidi iwepo code .mfano *150*80#. Itakayokuwezesha Kujirudisha muda Wowote utakao