Hii inabidi iwe special resolution kwa mujibu wa kifungu namba 31 (1) cha sheria ya makampuni. But kwa nini mnabadili jina? Kama unahitaji msaada wa suala hili basi nitumie information hizi kwenye inbox yangu, nitakusaidia bure, but gharama ya BRELA ni Tsh. 15,000/=.
1. Jina la kampuni linalotumika sasa, na jina jipya la kampuni mnalotaka kulitumia
2. Kikao cha Board kilifanyika lini, wapi na tarehe ngapi? Waliohudhuria, pamoja na mambo mliyokubaliana
Uwe huru kutumia fictitious names (for security reasons) halafu utaedit nikishakutumia.