Ugumu wangu
JF-Expert Member
- May 6, 2021
- 1,684
- 3,557
Naomba kuuliza wakuu, kwa wale mliopo Dar Kuna jengo karibu na Mlimani City linapangishwa je Kuna huduma za Internet ya fiber maeneo zimefika huko?
Kuhusu majengo yanayopangishwa mtaa huo yako kibao tu.Naomba kuuliza wakuu, kwa wale mliopo dar Kuna jengo karibu na mlimani city linapangishwa je Kuna huduma za Internet ya fiber maeneo zimefika huko?
Lakini je mitaa hiyo fiber zimeshafika huko?Kuhusu majengo yanayopangishwa mtaa huo yako kibao tu.
Sina hakika. Lakini huko kuna extensive users wa internet ikiwemo TCRA inawezekana vipi kusiwe na Fiber.Lakini je mitaa hiyo fiber zimeshafika huko?
Sawa mkuuSina hakika. Lakini huko kuna extensive users wa internet ikiwemo TCRA inawezekana vipi kusiwe na Fiber.