C CopsTz New Member Joined Jun 2, 2026 Posts 1 Reaction score 0 Jul 1, 2026 #1 Wahusika wa huduma ya ttcl faiba hamtendi haki. Toka Jumapili Asubuhi hakuna huduma maeneo ya Chang'ombe maduka mawili. Inafikirisha sana. Labda mnataka wateja wahamie kwa kampuni zingine. Hili shirika linataka overhaul kubwa sana.
Wahusika wa huduma ya ttcl faiba hamtendi haki. Toka Jumapili Asubuhi hakuna huduma maeneo ya Chang'ombe maduka mawili. Inafikirisha sana. Labda mnataka wateja wahamie kwa kampuni zingine. Hili shirika linataka overhaul kubwa sana.