kuna promosheni nyingine hujaijua, ukishwa weka vocha soma ile message itakayo display utaona namna ya kupata bando kwa bei rahisi kabisa ...jaribuTumezoea huduma bora kwa airtel, lakin kuanzia juzi, huduma zao zimebadilika kimya kimya, ukienroll bundle ya Mb 75 kama tulivozoea unapata Mb 50, hiyo haikuwa shida sana kupandisha gharama, shida zaidi ni pale unapojiunga alafu bila kutumia hizo Mb na bila kufikia muda wake wa kuexpire zinaisha from no where! Inasikitisha sana cz tumeexperience hicho kitu toka juzi, na si mimi peke yangu.
Nimeachana nao nimeenda ninakokujua !!
Hata voda wamebadilika 20000/- ilikuwa unapewa 5GB. Now mpaka uweke 25000/-. Kibongobongo tutafika kweli?!
Hii imenitokea Mimi Leo hiiNi kwel ukicheki salio dk na sms znasoma, lakin bundle linasoma 0bytes. cha kushangaza ukload na kuperuz net inasoma, hata kama salio la muda wa hewani ni zero!!
airtel wez 2 bando linaisha kabla ya mda hata kama huja2mia wanakuachia dk na sms.AIRTEL MMABADILIKE BWANA
jamani kuna kitu mimi sikielewi kuhusiana na hizi huduma za bundle na modem za haya makampuni . mfano kuna sehemu ukitumia modem fulani iko powa sehemu nyingine hata ukae mwezi modem inakusumbua sana mfano mzuri kigoma TTCL iko powa sana ila voda ni majanga na TIGO yaani sijui ni nini vile vile nasikia na aina ya modem inachangia maana humu wengine wanasema hii wengine ile basi ni mkanganyiko kwa kwenda mbele
Tatizo independent 'watch dog' to deal with such malt practice is not in place in TanzaniaHiyo itakuwa ni uwezo wa modem pamoja na network!