drmaxmhozya
Member
- Aug 7, 2020
- 51
- 48
Habari Wana hf nafanya delivering ya bidhaa mpaka ulipo tunakufikia ikiwemo hotelini, migahawani na majumba binafsi ya watu huduma zetu ambazo tunazo ni
Vitunguu maji
Vitunguu swaumu
Dagaa wa bukoba
Viazi mviringo
Tangawizi
Mfumo wetu wa kuuza ni kwa bei ya jumla yaani tunapima kwa kilo ni kitendo tu Cha kutuambia unahitaji kiasi gani sisi tunakuletea kwa uaminifu kabisa kabisa pesa baada ya delivering
Tupo salasala mwisho wa lami
Mawasiliano yetu 0657709922