Karibu sanaNatia kambi kujifunza
Hongera sana kwa majitoleo yako hii ni sehemu inasumbuwa sana wafugaji wengi hasa kwenye matibabu stahiki na dawa mahususi za magonjwa ya mifugo wetu hasa chanjo.Habari wafugaji natumaini wote ni wazima wa afya,Leo napenda kuwaletea huduma bora kwa mifugo yako ambayo husaidia kuongeza uzalishaji kwenye shamba lako la mifugo.
๐ดHUDUMA ZINAZOTOLEWA:
โ Uhimilishaji kwa nguruwe
โ Matibabu ya wanyama
โ Chanjo
โ Upasuaji
โ Ramani za mabanda
โ Kutembelea mashamba
โ Ushauri wa kitaalamu
โ Huduma ya utoaji wa dawa za minyoo
Karibu sana.
MAWASILIANO:
๐ 0674740836
๐ 0792263640
Asante sana ,karibu sana bossHongera sana kwa majitoleo yako hii ni sehemu inasumbuwa sana wafugaji wengi hasa kwenye matibabu stahiki na dawa mahususi za magonjwa ya mifugo wetu hasa chanjo.
Tunahitajika kutoa elimu nzuri na matibabu Bora kwa mifugo yetu .Hongera sana kwa majitoleo yako hii ni sehemu inasumbuwa sana wafugaji wengi hasa kwenye matibabu stahiki na dawa mahususi za magonjwa ya mifugo wetu hasa chanjo.
Nashukuru sana mnafanya huduma kwa Nguruwe tu au na mifugo wengine?Asante sana ,karibu sana boss
Mifugo yote Kama mbwa,paka, ng'ombe mbuzi, nguruwe kuku,kondooo n.kNashukuru sana mnafanya huduma kwa Nguruwe tu au na mifugo wengine?
Mchau nisaidie:Habari wafugaji natumaini wote ni wazima wa afya,Leo napenda kuwaletea huduma bora kwa mifugo yako ambayo husaidia kuongeza uzalishaji kwenye shamba lako la mifugo.
๐ดHUDUMA ZINAZOTOLEWA:
โ Uhimilishaji kwa nguruwe
โ Matibabu ya wanyama
โ Chanjo
โ Upasuaji
โ Ramani za mabanda
โ Kutembelea mashamba
โ Ushauri wa kitaalamu
โ Huduma ya utoaji wa dawa za minyoo
Karibu sana.
MAWASILIANO:
๐ 0674740836
๐ 0792263640
Kinyesi chake kipoje ?,na joto la mwili umemchechek ni ngapi? Ili niweze kukusaidia vizuriMchau nisaidie:
Ndama wangu nadhani anaumwa. manyoya yamesimama, anaonekana kuzubaa, tumbo kubwa . Anaweza kuwa na tatizo gani? nimpe dawa gan
asante ngoja jioni nimkague vema akirudi. joto sina nana ya kumpima maana sina hata thermometerKinyesi chake kipoje ?,na joto la mwili umemchechek ni ngapi? Ili niweze kukusaidia vizuri
Oky mcheck kinyesi,alfu mchek namna anavyohema alafu niambieasante ngoja jioni nimkague vema akirudi. joto sina nana ya kumpima maana sina hata thermometer
Kinyesi kiko kawaida kijanish/greenish reflecting rangi ya majaniKinyesi chake kipoje ?,na joto la mwili umemchechek ni ngapi? Ili niweze kukusaidia vizuri
Naomba nipigie kawaida kupitia number 0674740836 ili tuweze kupata information zilizokamilika kutoka kwa ndama wako na kumpatia dawa sahihi kulingana na shida inayomsumbuaKinyesi kiko kawaida kijanish/greenish reflecting rangi ya majani
Sasa Mchau, hapa JF tuna- maintain anonymity, AND THIS IS VERY FUNDAMENTAL ON JF. unanipa mtihani mkubwa. I guess you can assist through this page without making phone calls! And all will be OK. ............UNLESS PAYMENT IS THE OBSTACLE!Naomba nipigie kawaida kupitia number 0674740836 ili tuweze kupata information zilizokamilika kutoka kwa ndama wako na kumpatia dawa sahihi kulingana na shida inayomsumbua
Nimekuelewa boss ameanza lini hiyo Hali ya kuumwa kwa ndama huyo????Sasa Mchau, hapa JF tuna- maintain anonymity, AND THIS IS VERY FUNDAMENTAL ON JF. unanipa mtihani mkubwa. I guess you can assist through this page without making phone calls! And all will be OK. ............UNLESS PAYMENT IS THE OBSTACLE
some 2 or three weeks. Nilikuwa sipo kurudi naona hali si nzuri kama nilivyomuacha. ana mwaka 1Nimekuelewa boss ameanza lini hiyo Hali ya kuumwa kwa ndama huyo????
Ahaaa ameonyesha dalili zake tumbo kuwa kubwa,manyoya yamesimama,amezubaa,Hali chakula vizuri, ????? Ndo hizo amezioneshasome 2 or three weeks. Nilikuwa sipo kurudi naona hali si nzuri kama nilivyomuacha. ana mwaka 1