Transistor
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,061
- 1,639
Nimekuwa nikijaribu kuendesha workshop mbalimbali za kielectronics;
lakini mwamko wa jamii hii ya kielectronics katika kuhudhuria workshop hizi umekuwa mdogo sana;
Mtu anang'ang'ania elimu yake aliyo ipata Secondary,chuo cha ufundi au chuo kikuu na hataki kujiongeza zaidi!
Nadhani imefika wakati kwa vijana kujitambua na kuthamini hata vile vidogo kwa manufaa yetu wenyewe.
Sioni dhambi ya wewe kuchukua muda wako kidogo kushiliki kongamano la ujasiriamari,au seminar yeyote ambayo ina lengo la kukupa ujuzi fulani,kwani tukitaka kudumaa na elimu tulizo nazo tutabaki hapa hapa daima.
Hata kama semina inaendeshwa bure unakuta mtu hataki kwenda mi nadhani katika maisha ya sasa kujiongeza ni jambo jema.
Mimi nawashauri watu wote tupende kujifunza ili tujiongezee wigo wa kuajiliwa au kujiajiri,kwani waswahili wanasema Elimu haimtupi mtu!
Mimi nadhani kutokana na changamoto za ajira kwa sasa vijana wengi tungejikita katika elimu zinazo tupa kazi moja kwa moja mikononi mwetu kuliko kazi zile za kusubili kuajiliwa.
Mimi mwenyewe nimesoma hadi chuo kikuu lakini niliamua kufanya kazi za kawaida tu ambazo leo ndio msingi wangu wa maisha na zinanipa kipato cha kujikimu vizuri tu pengine kuliko hata wale walio ajiriwa.
Kujiajiri katika electronics hakuitaji mtaji mkubwa kitu cha msingi uwe na ujuzi bora wa kuunda vitu mbali mbali baada ya hapo unaunda kitu hata kama ni kimoja na kukitafutia soko.
Hata mimi nilianza hivyo lakini leo kila kukicha nazidi kuaminika na kupata order mbalimbali!
Natamani wasomi wa electronics tujikite katika kubuni na kuunda vitu ambavyo vitakutambulisha wewe kama wewe,pale inapotokea mtu anahitaji inamlazimu awasiliane na wewe kwa sababu hakuna mtu mwingine anayezalisha kitu hicho zaidi yako.
Mwanzo ni mgumu lakini jinsi unavyo unda vitu vyako vizuri ndivyo unavyo zidi kupata soko!
Na baadae unaanza kupata soko kubwa na oda nyingi.
Kwa sasa natamani vijana wenzangu ambao mnapenda electronics tuje pamoja ili angalau tuunde kikundi cha watu kadhaa ambacho tutakuwa tunabuni na kuunda vitu vyetu sisi wenyewe na kuvitafutia masoko moja kwa moja kwa watumiaji au kwa wenye maduka.
Kama tutakuwa tunazalisha vifaa bora hakika tutatanuka na kupata oder nyingi.
Pia tukiwa kama kikundi tutapata fursa nyingi kama vile kupata mikopo mbalimbali ambayo itasaidia kukuza uzalishaji wetu.
Kuanzia tarehe 27 mwezi september 2014(Ilibidi ifanyike kuanzia tarehe 13 kutokana na tatizo la ukumbi ndio imehamishiwa tarehe hiyo) nitaendesha workshop ya mafunzo ya electronics pamoja na ujasiliamali wake katika topic mbalimbali ambapo tutapata ujuzi wa kuunda vitu mbalimbali.
Workshop ya theory itakuwa bure kabisa zaidi ya gharama ya form ambayo ni elfu tano(fomu zimeanza kutolewa)
Ambapo itafanyika siku tatu.
Kwa wale watakao taka Kuendelea na upande wa pili wa practical wataongezewa siku tatu nyingine ili wafanye mafunzo kwa vitendo ya kile walicho jifunza hivyo watalipia gharama za ununuzi wa vifaa vya practical ambapo kila mtu itamgharimu shilingi 20000 ili aweze kufanya mafunzo kwa vitendo.
baada ya mafunzo kwa vitendo washiriki watapewa "Cirtificate of Attendancy" kuonyesha mshiliki alihudhuria mafunzo haya.
Na wale watakao fanya vizuri watachaguliwa katika kikundi cha electronics ambacho kitaanzisha karakana yake na kuanza kufanya production za aina tofauti tofauti kikiwa kikundi cha watu wanao buni,kuunda na watu wa marketing.
Ukumbi ni Gongolamboto katika shule ya High mount international secondary school jirani na Kampala international university.
Nawakaribisha wote bila kujali elimu yako.
Formu zinapatikana siku zote katika kituo cha elimucha tallented brothers academy ukonga mzambarauni.
pia formu zitakuwa zinasambazwa na ndugu Transistor wasiliana nae atajaribu kuwafikia pale mlipo. 0657-115587.
Karibuni nyote!
Tembelea blog yetu HII