HUBERT KAIRUKI MEMORIAL UNIVERSTY

HUBERT KAIRUKI MEMORIAL UNIVERSTY

sante sana..bt wanasema kuwa unaweza kuedtt info zako kwa profile bt mbn ukichange priorty idadi ya aplicant haibadliki?
System ya TCU haiko fasta kujiupdate kulingana na applicants au pengine sehemu unapokuwa mtandao sio mzur
Au itumie usiku ambapo visitors wanakuwa wachache
Ila its better after application unaprint for future use
 
mkuu nina two pcb ya 10 mwaka huu na nimeomba hpo first priorty vp watanivuta au watanpiga chn!
Kwa ushauri tu, kama uchumi haupo vizuri sana (uchumi wa kati) ningekushauri uweke 1st bugando au kcmc wao unaongeza 1.5m-2m hapo tuition fee +registration fee, pia exposure kwa wagonjwa kcmc na bugando zinapokea wagonjwa wengi tofauti na kairuki (kcmc~450 bed capacity, bugando~950 bed capacity) ila kama wa kishua nenda tu kairuki sio pabaya, ni wakongwe na pia hospitali yao ina vifaa vya ukweli.
 
shida ya kusoma habari kwenye magroup ya whatsapp na kwenye thread...muwe mnatafut source za kuaminika ...sio unakurupuka nakuropoka; MD ipo nainaendelea..
good!
 
Kwa ushauri tu, kama uchumi haupo vizuri sana (uchumi wa kati) ningekushauri uweke 1st bugando au kcmc wao unaongeza 1.5m-2m hapo tuition fee +registration fee, pia exposure kwa wagonjwa kcmc na bugando zinapokea wagonjwa wengi tofauti na kairuki (kcmc~450 bed capacity, bugando~950 bed capacity) ila kama wa kishua nenda tu kairuki sio pabaya, ni wakongwe na pia hospitali yao ina vifaa vya ukweli.
Mkuu Huo Ushauri Ni kwa Wale Wenye Uchumi wa Kati, Sasa Kwa sisi Wenye Uchumi Wa Chini Unstushauri nini??
Coz sina means yoyote ya Kuzichomoa 1.5m - 2m nikaongeza Kwenye Mkopo Kwani Kwangu Ni Hela Ndefu Sana hiyo sijawahi hata kuiona kwa Macho.
 
Sorry hicho chuo kipo ktk orodha md mwaka huu...saint fransis ndicho hakipo nilikosea
 
Mkuu Huo Ushauri Ni kwa Wale Wenye Uchumi wa Kati, Sasa Kwa sisi Wenye Uchumi Wa Chini Unstushauri nini??
Coz sina means yoyote ya Kuzichomoa 1.5m - 2m nikaongeza Kwenye Mkopo Kwani Kwangu Ni Hela Ndefu Sana hiyo sijawahi hata kuiona kwa Macho.
Hapo kaka inakua ngumu kwa kweli kama matokeo yako hayaruhusu kupata muhas na udsm kuna college kinaitwa Archbishop James ni college ya SAUT songea nao wanatoa MD pale hawaongezi tuition fee ingawa michango michango mingine ipo kama kawaida, ila kuhusu mazingira yao na ufundishaji nisikidanganye kiukweli sio mazuri sana, hawana lecturers wa kutosha ..hospitali wanatumia peramiho na ya mkoa ambazo ubora wake sio wa juu sana.. ila ikibidi unaenda tu huko maana kuna watu wengi tu wanasoma, St Francis ada imepanda kuanzia next year ingawa kwenye guidebook wameandika vingine. Ila kiukweli kama kauwezo kapo kcmc &cuhas are the best.
 
Mimi sina interest na MD kabisa Coz nina Allergy na Damu za Wagonjwa.
Mimi interest yangu kubwa isiyopingika Ni PHARMACY tu Kwa Kozi Zote Za Afya.

Na Nikiangalia Pharamcy:
Muhas
Cuhas
St John
KIU
Hapo hela mpaka Basi bro.
 
St John pharmacy mwaka jana wamelipiwa yote hawajaongeza kabisa labda kama kuna mabadiliko mwaka huu
 
Back
Top Bottom