Mh lakini kuwazimia OS unadhani china wanashindwa kubuni ya kwao mimi siamini hiloWAlitengeneza ya kwao mwiaka kama 5 au 6 iliyopita, inaitwa china operating system, ila hawakutaka kutoa codes, watu wakawaruhumu kua wamecopy open source ya google. China bado dependant kwa kila kitu kutoka west.
Salute 🤴Ubaya zaidi kule china kuna xaomi ambayo ni mbadala wa iPhone ni bei affordable kabisa.
China is iPhone's largest market na sidhani kama apple wako tayari kupoteza soko la watu wengi namna ile
kiukweli China nayo haikwepeki kabisa maana kwa sasa ndio jamii yenye purchasing power kubwa zaidi kuliko hata the whole Europe sasa kama mzalishaji unaachaje market base kubwa namna ile?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huamini nini?Mh lakini kuwazimia OS unadhani china wanashindwa kubuni ya kwao mimi siamini hilo
anaye nufaika zaidi unadhani ni nani,na je unafikiri hizo tarrifs alizoweka marekani hapati hasara?maana bidhaa zake zote muhimu anatengeneza kule chinaHivi kwa akili yako unadhani China hanufaiki kikubwa kwa uwepo wa iPhone nchini kwake,unajua imetoa ajira kiasi gani na fedha ngapi wanapata?
Sent using Jamii Forums mobile app
WTO wamebadilisha sana sheria za biashara miaka hii ya karibuni tena chini ya usimamizi wa hao hao marekani na ndio huo huo ubepari uliotaka soko huria,je wanataka kutoa soko huria?Sheria za kibiashara za mwaka 1950s kwa mazingira ya sasa haziwezi kuwa na faida.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kati ya marekani na china unadhani nani atapata hasara zaidi kama china akiacha kutengeneza iPhone fikiria halafu uje na jibuHivi unajua iphone inawaingizia faida kiasi gani wachina?
kaka android ni open source OS mtu yeyote anaweza kufanya modification akatengeneza OS yake tena kwa haraka sanaWakifika uko wanazima Android system kwa simu zote zinazotengenezwa na China
Apo ndio Vita lazima mchina achemke na hana operating system yoyote. Kwa iyo itakuwa aibu kubwa Sana kwa Chinese
Sent using Jamii Forums mobile app
Apple ana plan B, ambayo ni India, haitamsumbua sana.Kuna siku iphone zitazuiliwa china,hapa apple watapata pigo kubwa sana hii michezo haihitaji hasira.
kwa kukumbusha tu kuna mobile OS nyingi tu kule china hata huawei na alibaba wanaza kwao,hawa alibaba wana ya kwao inaitwa YunOS,OS zingine kuna emotion os,smartisan OS,oxygen OS,mmi OS zipo nyingi sana mkuu na zote zimebase kwenye Linux kama iliyokua android OS na zinatumika China japo share kubwa ipo kwa android na iphone kwa hiyo hata kama unasema watazima hiyo android hawa jamaa wataendelea vizuri tu na simu zao na hasara itakua kwa producer wote wa simu duniani ambapo ni wa nje ya chinaWakifika uko wanazima Android system kwa simu zote zinazotengenezwa na China
Apo ndio Vita lazima mchina achemke na hana operating system yoyote. Kwa iyo itakuwa aibu kubwa Sana kwa Chinese
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulichosahau ni kwamba android OS ni open source kama Linux au hauelewi maana ya open source applications or operating systemsWakifika uko wanazima Android system kwa simu zote zinazotengenezwa na China
Apo ndio Vita lazima mchina achemke na hana operating system yoyote. Kwa iyo itakuwa aibu kubwa Sana kwa Chinese
Sent using Jamii Forums mobile app
USA wameshindwa ushindani wa kibiashara na zile sheria za WTO waliziweka wao lakini naona sasa hivi wanaziona chungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado ishu iko pale pale india atachukua technology na ataanza kuunda za kwake na baadae marekani atasema anaibiwa technology na atasema tena kuna trade imbalance kwa kua atakua ana import kutoka india tena hapa marekani kama taifa wanakua hawaja solve tatizo kwa kukimbia ChinaApple ana plan B, ambayo ni India, haitamsumbua sana.
Kinachobeba operating system ni user friendliness yake, popularity na compactibility, china anaweza kua na operating system hata 100 ila kama hazina hizo sifa watatumia developers tu wa hyo operating system.Kuna OS za mobile china zaidi ya 5
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi ndo facy tunazohitaji maana usipokua makini utaona china anasurrender kumbe anayepata tabu ni US na shida ni Marekani kudhani dunia ya sasa inatishika naye kama enzi zile! Nchi zimejiimarisha na zina mifumo imara ya uchumi na teknolojia jambo ambalo ni hatari kwa USAKiukweli USA ndiyo inayo tapatapa haitaki kuona multipolar world
Kila mtu anayefanya biashara vizuri anamuwekea vikwazo hapa inaonekana ameshindwa kufanya biashara ushindani umemshinda kwa kiasi kikubwa na nchi za ulaya zimeanza kumstukia
Mfano kujenga tu bomba la gas kutoka russia kwenda Germany hataki ili tu aje kuuza LNG yake ambayo ni very expensive kwa ulaya
Na Germany imesema haitakubali watajenga tu hilo bomba maana anajua faida zake na yule ndio powerhouse ya Europe na bomba kwa sasa lipo 70%
Juzi Italy imetangaza kujiunga na silk road project ya china ambayo inapunguza karibia nusu ya gharama za biashara kwa sasa marekani alivyosikia hivyo kaanza kumpiga mkwara Italy
One road,one belt (silk) ni muunganiko wa network za barabara,reli na meli na njia zingine za usafiri kuanzia china mpaka ulaya mpaka africa kwa hiyo itafikia kipindi utatoka na gari/train kutoka china mpaka ulaya mpaka africa hapo ita harakisha sana global trade kwa kiasi kikubwa sasa hapa marekani anaona wivu sana china atapata influence kubwa mno na faida pia
kila atakaye ingia kwenye hiyo project anampa vikwazo huko ni kutapa tapa aache watu wafanye biashara kama kashindwa ushindani akae pembeni au ajipange upya
Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhani ni kazi rahisi sana kuwa na OS,waulize Korea Kusini na Russia.Mh lakini kuwazimia OS unadhani china wanashindwa kubuni ya kwao mimi siamini hilo
Wachina wanavyopenda kick mbona mpaka sasa hawajatengeneza yao?kaka android ni open source OS mtu yeyote anaweza kufanya modification akatengeneza OS yake tena kwa haraka sana
Sent using Jamii Forums mobile app